Marekani yafunga Ubalozi wake Ukraine

Marekani yafunga Ubalozi wake Ukraine

Dutert

Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
10
Reaction score
11
Kuna mtu katolewa chambo
---

1732115715628.png

Marekani imetangaza kuwa ubalozi wake katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, umefungwa baada ya kupokea taarifa maalum kuhusu uwezekano wa shambulio kubwa la anga.

Onyo hilo la shambulio, linakuja baada ya Rais wa Marekani, Joe Biden kuipa Ukraine idhini ya kutumia makombora ya masafa marefu yaliyotolewa na Marekani kushambulia maeneo ya Urusi.​

Attachments

  • Screenshot_20241120-175717_X.jpg
    Screenshot_20241120-175717_X.jpg
    341.7 KB · Views: 6
Russia kwa nini anachelewa kumtoa kende mfadhili mkuu wa Ukraine'??

Siyo hofu kweli hiyo?

Kile Russia alichokataa kisifanywe na taifa lolote, UsA amempuuza ?

Russia ni mchumba?
 
Russia kwa nini anachelewa kumtoa kende mfadhili mkuu wa Ukraine'??

Siyo hofu kweli hiyo?

Kile Russia alichokataa kisifanywe na taifa lolote, UsA amempuuza ?

Russia ni mchumba?
Russia ingekuwa na silaha za nuclear peke yake ulimwengu huu mbona vita vingeshaisha kitambo tu, tatizo wanaomuhofia nayeye anaowahofia vilevile ndiomaana tunasema uwezekano wa kutumia hizo silaha ni mdogo kwa asilimia
 
Russia kwa nini anachelewa kumtoa kende mfadhili mkuu wa Ukraine'??

Siyo hofu kweli hiyo?

Kile Russia alichokataa kisifanywe na taifa lolote, UsA amempuuza ?

Russia ni mchumba?
Endelea kuisoma USA kwenye kitabu
 
Maigizo kupitia maisha ya watu, "all I wanna say is that, they don't really care about us..." MJ aliona mbali.
 
Yani unawaruhusu Ukraine watumie silaha zako kumpiga Russia kisha wewe unakimbia? Hii ni aibu kubwa sana..

Wanaume wa kweli ni Yahya Sinwar na Hassan Nasrallah ambao wamepigana mpaka mwisho wa uhai wao..

Kuna uwezekano mkubwa hata Zelensky mwenyewe akawa yupo US kawaachia msala wananchi wake hapo..

Putin akiamua kushusha kitu patabaki vumbi tu hapo Ukraine
 
Marekani ni taifa katili sana kmmmk

Jana: Marekani iliruhusu Ukraine ishambulie ndani ya mipaka ya Russia kwa kutumia silaha zao ATACMS

Leo: Marekani yafunga ubalozi, ikionya shambulio kubwa la anga dhidi ya Ukraine.

Na Waukraine wa kawaida wanapaswa kwenda kufanya kazi na kuishi huku kukiwa na wasiwasi wa shambulio la anga kutoka Russia

Ukranians will learn the hard way

Kuna watu mbinguni watapasikia tu. Imagine mamilioni ya wananchi wa kawaida ndio waathirika kwa maamuzi ya wapuuzi fulani wasiozidi 10 hivi
 
Russia kwa nini anachelewa kumtoa kende mfadhili mkuu wa Ukraine'??

Siyo hofu kweli hiyo?

Kile Russia alichokataa kisifanywe na taifa lolote, UsA amempuuza ?

Russia ni mchumba?

Putin amewekwa katika wakati mgumu sana.. hapo wapuuzi fulani wanamlazimisha aanzishe WW3 lakini yeye alikuwa na hope kwamba watayamaliza na Trump. Ssasa anawaza je alianzishe au awe na subira wayamalize na Trump?

Akilianzisha maanake hakuna suluhu mana vita ya Nuclear hakuna anayebaki wote tunapotelea ardhini, akisema amsubiri Trump wanazidi kumzingua na kumdharau kuwa hana lolote..

Pamoja na yote Putin ana busara kuliko hao west
 
Yani unawaruhusu Ukraine watumie silaha zako kumpiga Russia kisha wewe unakimbia? Hii ni aibu kubwa sana..

Wanaume wa kweli ni Yahya Sinwar na Hassan Nasrallah ambao wamepigana mpaka mwisho wa uhai wao..

Kuna uwezekano mkubwa hata Zelensky mwenyewe akawa yupo US kawaachia msala wananchi wake hapo..

Putin akiamua kushusha kitu patabaki vumbi tu hapo Ukraine
Kabisa uyo yankii nadhani tayari ana uraia wa marekani,maana kawa kibaraka kwa mda mrefu sasa,atapigika haswaa.
 
Kuna mtu katolewa chambo
---

View attachment 3157037

Marekani imetangaza kuwa ubalozi wake katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, umefungwa baada ya kupokea taarifa maalum kuhusu uwezekano wa shambulio kubwa la anga.​

Onyo hilo la shambulio, linakuja baada ya Rais wa Marekani, Joe Biden kuipa Ukraine idhini ya kutumia makombora ya masafa marefu yaliyotolewa na Marekani kushambulia maeneo ya Urusi.​

The Russian media are in panic over Storm Shadow missiles.

It can hit them wherever and whenever.
 
Back
Top Bottom