Kuna mtu katolewa chambo
---
Marekani imetangaza kuwa ubalozi wake katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, umefungwa baada ya kupokea taarifa maalum kuhusu uwezekano wa shambulio kubwa la anga.
---
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Russia ingekuwa na silaha za nuclear peke yake ulimwengu huu mbona vita vingeshaisha kitambo tu, tatizo wanaomuhofia nayeye anaowahofia vilevile ndiomaana tunasema uwezekano wa kutumia hizo silaha ni mdogo kwa asilimiaRussia kwa nini anachelewa kumtoa kende mfadhili mkuu wa Ukraine'??
Siyo hofu kweli hiyo?
Kile Russia alichokataa kisifanywe na taifa lolote, UsA amempuuza ?
Russia ni mchumba?
Endelea kuisoma USA kwenye kitabuRussia kwa nini anachelewa kumtoa kende mfadhili mkuu wa Ukraine'??
Siyo hofu kweli hiyo?
Kile Russia alichokataa kisifanywe na taifa lolote, UsA amempuuza ?
Russia ni mchumba?
Wananini cha ajabu kisichokuwepo kwa wengine? kama ni knuclear anazo chache kuliko Russia.Endelea kuisoma USA kwenye kitabu
Kuna watu mbinguni watapasikia tu. Imagine mamilioni ya wananchi wa kawaida ndio waathirika kwa maamuzi ya wapuuzi fulani wasiozidi 10 hiviMarekani ni taifa katili sana kmmmk
Jana: Marekani iliruhusu Ukraine ishambulie ndani ya mipaka ya Russia kwa kutumia silaha zao ATACMS
Leo: Marekani yafunga ubalozi, ikionya shambulio kubwa la anga dhidi ya Ukraine.
Na Waukraine wa kawaida wanapaswa kwenda kufanya kazi na kuishi huku kukiwa na wasiwasi wa shambulio la anga kutoka Russia
Ukranians will learn the hard way
Russia kwa nini anachelewa kumtoa kende mfadhili mkuu wa Ukraine'??
Siyo hofu kweli hiyo?
Kile Russia alichokataa kisifanywe na taifa lolote, UsA amempuuza ?
Russia ni mchumba?
Kabisa uyo yankii nadhani tayari ana uraia wa marekani,maana kawa kibaraka kwa mda mrefu sasa,atapigika haswaa.Yani unawaruhusu Ukraine watumie silaha zako kumpiga Russia kisha wewe unakimbia? Hii ni aibu kubwa sana..
Wanaume wa kweli ni Yahya Sinwar na Hassan Nasrallah ambao wamepigana mpaka mwisho wa uhai wao..
Kuna uwezekano mkubwa hata Zelensky mwenyewe akawa yupo US kawaachia msala wananchi wake hapo..
Putin akiamua kushusha kitu patabaki vumbi tu hapo Ukraine
The Russian media are in panic over Storm Shadow missiles.Kuna mtu katolewa chambo
---
View attachment 3157037
Marekani imetangaza kuwa ubalozi wake katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, umefungwa baada ya kupokea taarifa maalum kuhusu uwezekano wa shambulio kubwa la anga.
Onyo hilo la shambulio, linakuja baada ya Rais wa Marekani, Joe Biden kuipa Ukraine idhini ya kutumia makombora ya masafa marefu yaliyotolewa na Marekani kushambulia maeneo ya Urusi.