Mkuu marekani kwa azimio la congress ni kuirejesha Ukraine na mipaka yake yote ikiwemo Donbas na cremea muda ndio utaongea kumbuka marekani wametenga budget ya miaka 5 ikibidi wataendeleza mapambano mpaka kieleweke, mrusi haondoki na kitu kwenye ardhi ya UkraineM
Mi naona Kama Mmarekani kaamua kumuachia MRUSI sehemu zingine zote ndani ya Ukraine isipokuwa Kyiv.
Alipo MRUSI Mmarekani hakanyagi na alipo Mmarekani MRUSI hakanyagi.
Sioni Vita hii ikiisha siku za hivi karibuni.