Mkuu marekani kwa azimio la congress ni kuirejesha Ukraine na mipaka yake yote ikiwemo Donbas na cremea muda ndio utaongea kumbuka marekani wametenga budget ya miaka 5 ikibidi wataendeleza mapambano mpaka kieleweke, mrusi haondoki na kitu kwenye ardhi ya UkraineM
Mi naona Kama Mmarekani kaamua kumuachia MRUSI sehemu zingine zote ndani ya Ukraine isipokuwa Kyiv.
Alipo MRUSI Mmarekani hakanyagi na alipo Mmarekani MRUSI hakanyagi.
Sioni Vita hii ikiisha siku za hivi karibuni.
Tatizo hawa watoto wa jf hawajielewi yaani nia vilaza hawajui mziki wa USA na hawajui maana ya taifa kuitwa super power sasa kwa dhati kabisa USA kwenye hii vita ndo anataka kuudhihirisha usuper power wake apa duniani yaani ndo ameamua kwa maksud kabisa kumuonyesha Russia kwamba yeye bado ni mtoto mdogo sana kwa USAMkuu marekani kwa azimio la congress ni kuirejesha Ukraine na mipaka yake yote ikiwemo Donbas na cremea muda ndio utaongea kumbuka marekani wametenga budget ya miaka 5 ikibidi wataendeleza mapambano mpaka kieleweke, mrusi haondoki na kitu kwenye ardhi ya Ukraine
Usisahau kidole kingine kinakurudia wewe!Look at this fool, Ideot and frustrated individual.
Go and find food to eat.c your neck like electric pole. You are not feeding well yet you are all over Jf shouting Putin this Russia that... You can't even afford to eat is it Russia you love so much you can afford to go to?
Poor man.
Hahahaaa! Bagosha!!!!!!Imbundo yako saganyinza!
[emoji419][emoji419] [emoji16]Look at this fool, Ideot and frustrated individual.
Go and find food to eat.c your neck like electric pole. You are not feeding well yet you are all over Jf shouting Putin this Russia that... You can't even afford to eat is it Russia you love so much you can afford to go to?
Poor man.
Imbundo yako saganyinza!
Kumbe ni wataalam kuokoa kwenye movie tu, kweli tunadanganywa na movie zaoHilo ni tambala tu kama wawanaweza wakaokoe mateka
Waende kuokoa waliwe utumboKumbe ni wataalam kuokoa kwenye movie tu, kweli tunadanganywa na movie zao
Ni wazi wataalam wa mapigano wameshaainisha kuwa Rusia haitaitwaa Ukraine na utwala wa Kiev utadumuKremlin inakaribia kuanguka.
Hakuna tena uwezekano wa kuiangusha serikali ya Zelensky.