AK47 ni USA made ? je imeanza ingia Afrika tangu mwaka gan ?
Unachanganya mambo rafiki.
AK-47 inauzwa kama zinavyouzwa silaha nyimgine za mataifa mengine,ni ubora wake tu ndio unaifanya ipendwe na watumiaji Dunia nzima.
Fahamu kwamba mataifa ya ulaya mgharibi na marafiki zao wa mbali hawaitumii AK-47 wanatumia silaha bunduki nyingine na hata kutoka USA.
Hata hivyo Kuna nchi zaidi ya 11 duniani zina leseni ya kutengeneza AK-47.
Kuingia Afrika ni kutokana na kupendwa kwake.
Waasi wote duniani hununua silaha kwa Siri lkn sio serikali ya Urusi inayowauzia..
Sasa hoja ya mtoa mada inasema hivi,Marekani inayakataza mataifa mengine yasiiuzie au yasiipe silaha Urusi katika mgogoro Wake na Ukraine,lakini Marekani yenyewe inaipa Ukraine silaha na inayahamasisha mataifa mengine yaipe Ukraine silaha ili iipige urusi.hapo ndipo hoja ya mtoa mada iliposimamia.
Twende na hoja ya mtoa mada.
Hebu jiulize vipi pale Marekani na washirika wake walipokua wakipigana nq Iraq ama Watalaban ama wa wayugoslavia Urusi na china na Korea na Iran na Syria na mataifa mengine wangekua wanawapa silaha na ushauri wa kivita Watalaban,wairaq na wayugoslavia.unafikiri ni Nini kingetokea?