kwan silaha za USA haziko mikonon mwa waasi wengi kama ak47 ? Huyu USA mnamuona mbaya ila siku akianguka ndio mtaona rangi halisi za hao mashoga zenuUkiskia duniani kuna maajabu ndio haya.
Marekani anapiga kura ya turufu UNO dhidi ya Ukrain au Palestina akipiga China au Russia America anakasirika
Anasambaza silaha akisambza mwengine kosa.
Haya maajabu ya mwaka.
Yanatakiwa yawe ktk vitabu vya maajabu ya dunia
AK47 ni USA made ? je imeanza ingia Afrika tangu mwaka gan ?Marekani ni Taifa la kinafiki.
Wanahubiri haki za binadamu,lkn wao hawatendi haki,
Wanahubiri uhuru wa habari lkn wao hawana uhuru,
Wanahubiri demokrasia,lkn wao hawana demokrasia.
Nina majibu juu ya hayo niliyoandika.
Ak ni ya usa labda unaotaAK47 ni USA made ? je imeanza ingia Afrika tangu mwaka gan ?
umeelewa nlichouliza ?Ak ni ya usa labda unaota
Kwasababu ukraine hakuanzisha vita bali alivamiwa ni haki ya ukraine kusaidiwa kumuondoa mvamizi urusiUkiskia duniani kuna maajabu ndio haya.
Marekani anapiga kura ya turufu UNO dhidi ya Ukrain au Palestina akipiga China au Russia America anakasirika
Anasambaza silaha akisambza mwengine kosa.
Haya maajabu ya mwaka.
Yanatakiwa yawe ktk vitabu vya maajabu ya dunia
Wehu huoKwasababu ukraine hakuanzisha vita bali alivamiwa ni haki ya ukraine kusaidiwa kumuondoa mvamizi urusi
Wewe ndio mnafiki huoni ukraine ndio alivamiwa na urusi yeye hakuanzisha vita ni haki yake kusaidiwa ukimsaidia urusi silaha unamsaidia jambaziMarekani ni Taifa la kinafiki.
Wanahubiri haki za binadamu,lkn wao hawatendi haki,
Wanahubiri uhuru wa habari lkn wao hawana uhuru,
Wanahubiri demokrasia,lkn wao hawana demokrasia.
Nina majibu juu ya hayo niliyoandika.
Ukraine alivunja mikataba baada kudanganywa kuwa akishambuliwa watamsaidia matokeo yke wanampa silaha wanakaa pembeni kupgwa ni haki yake sababu hana akili anaongoza nchi kwa kufuata maelekezo.Kwasababu ukraine hakuanzisha vita bali alivamiwa ni haki ya ukraine kusaidiwa kumuondoa mvamizi urusi
Wenye akili ni hawa?Wehu huo
Unachanganya mambo rafiki.AK47 ni USA made ? je imeanza ingia Afrika tangu mwaka gan ?
Hamna ndugu yangu,USA akianguka maisha yatendelea TU.hata ujeremani ya Hitler wazee wetu waliwaza kama wewe,lakini alipoanguka maisha yanaendelea TU.kwan silaha za USA haziko mikonon mwa waasi wengi kama ak47 ? Huyu USA mnamuona mbaya ila siku akianguka ndio mtaona rangi halisi za hao mashoga zenu
Hawa na mashoga zao same type wale wanazuia Hamasi hata wasinywe maji ili wapigane nao 😄Ukiskia duniani kuna maajabu ndio haya.
Marekani anapiga kura ya turufu UNO dhidi ya Ukrain au Palestina akipiga China au Russia America anakasirika
Anasambaza silaha akisambza mwengine kosa.
Haya maajabu ya mwaka.
Yanatakiwa yawe ktk vitabu vya maajabu ya dunia
kama hujamwelewa jamaa , bas jichek afya ya akilWehu huo
Unajua lkn sababu za Urusi kuivamia Ukraine?Wewe ndio mnafiki huoni ukraine ndio alivamiwa na urusi yeye hakuanzisha vita ni haki yake kusaidiwa ukimsaidia urusi silaha unamsaidia jambazi
nae kaboronga hana hoja alieulizaumeelewa nlichouliza ?