Marekani yaimulika Tanzania katika mbio za kushindana na China kumiliki Madini Mkakati

To call or name someone as "Beberu" always has a negative connotation.
On Contrary mimi naona ukiiita nchi nyingine beberu umejishusha...assumption ni kwamba wote sisi (kama nchi) ni mbuzi mee kisha katika hao mbuzi mee yupo mbuzi dume ambaye the rest ya mbuzi mnamtambua kama beberu na nyie wengine ni majike.

Beberu wengi wanarefer kama nchi za kinyonyaji lakini pia inaweza kutafsiriwa kama nchi yenye nguvu za kiuchumi na kiutawala. Na hivyo nchi nyingine zinajiona weak na inferior. Mbuzi Beberu katika ufalme wa mbuzi hata bei yake ipo juu...anapiga vichwa balaa
 
Tunashukuru mno kwa kuonwa na Marekani na nitatoa rai kwa serikali yetu kukubali mara moja ujenzi wa reli hiyo kuanza haraka sana!
 
Tunashukuru mno kwa kuonwa na Marekani na nitatoa rai kwa serikali yetu kukubali mara moja ujenzi wa reli hiyo kuanza haraka sana!
Yeah! Tukiweka kando hizi habari za siasa na chuki binafsi, kiuchumi ujenzi huo ni fursa kubwa kwa nchi yetu i.e. vijana watapata Ajira na nchi itajiongezea kipato. Nchi "itafunguka" zaidi.
 
Ni sahihi kwamba nchi zote (hata wananchi ktk nchi moja) hatuwezi kulingana. Tabia ya Beberu inafahamika; anapokuwa kwenye kundi la mbuzi mee, beberu huvamia majike kingono au kuwasumbua kwa kelele na mikwara kedekede japokuwa hawezi kuwapanda wote hata kama wangetulia au kuridhia hitaji lake.
Ndvyo inavyochukuliwa pale mtu anapomwita mwenzake au nchi inapoitwa ni ya Beberu. Nchi ya Kibeberu huanzisha chokochoko zisizo na msingi, huzilazimisha nchi nyingine kukubaliana na hoja ambazo nchi Beberu amezikubali hata kama nchi linayofanyiwa ubeberu haizitaki. Yan inalazimisha hoja kwa nguvu na sio nguvu ya Hoja.
 

Potential ya bara letu ni kubwa sana. Tena bora mmarekani kuliko mchina. Ila sisi akili zetu zina matege na kifadulo cha kujitakia.
Ndio maana tunaweweseka kama wasiojitambua
 
We should prefer the Chinese over the Americans. The Americans would always want a relation of master and subservient and never want a fifty fifty sharing of economic benefits. And than we will expose ourselves to political interference and sabotage against real economic development for the masses of our population which is our model for economic development.
 
Why Chinese? over the Americans? It is better not to judge before you activelly participate in the the dialogue table(Round table)and weigh out the findings from both sides.
Don't judge a book by its cover. Let them, USA and the Chinese come, carry out the negotiations then judge who wins according to your preferencial Interests. Asante.
 
Critical mineral sijui ndio kitu gani.

Kwakuwa umetaja ‘Lithium’ that falls under rare earth minerals.

Sasa strategy za rare earth minerals China ana shida ya kuangaika kupambana na mtu yeyote kwenye supply anamiliki 34% ya reserve duniani.

How you capitalise on the reserve strategically is a different matter.

Issue ni nchi za Africa kuingia mikataba mizuri na wengine duniani wanaosaka supply ya rare earth mineral.

Vinginevyo strategically ana comfort of supply (being the leader in reserves) alikuwa anaongoza kwenye subsidy ya mashirika matokeo yake China inaongoza kwenye research, matumizi ya rare earth minerals na byproduct export ya hizo resources.

To catch up with China Biden administration ime-commit $50 billion of subsidies to nature industries zinazotumia hizo rare earth minerals watengeneze viwanda (Arizona) ndio state waliochagua kuwa hub.

Sasa kama unatengeneza hub lazima uwapatie na supply ya uhakika kwengine duniani.

Hiyo ni mipango ya national security ya US ambayo China hana mpango nayo, shida ni wewe ni mwafrica kuingia mikataba ya hovyo na watu kama Indiana; halafu ukistuka na kuvunja mikataba wqnakushtaki na kukudai mahela mengi.

Usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili.
 
Yeah! Tukiweka kando hizi habari za siasa na chuki binafsi, kiuchumi ujenzi huo ni fursa kubwa kwa nchi yetu i.e. vijana watapata Ajira na nchi itajiongezea kipato. Nchi "itafunguka" zaidi.
Mkuu kijogroafia sisi tutakuwa losers,kwa kuwa tunatumia uhaba wa miundobinu ya kisasa katika DRC,Zambia,ambao ni producers wa madini mbali mbali kupitia Lobito Angola badala ya Dar-es'salaam.

Madini yawe yanasafishwa kwenda nchi za magharibi au mashariki yote yanapitia Dar-es'salaam.
Lakini ikijengwa hiyo njia ya kupitia Lobito Angola itaua bandari za Mombasa Kenya,Tanga,Dar hata Mtwara.

Dawa nikutoshabikia mradi huo kabisa, ukisaidiwa na vurugu ya wapigania uhuru walio msituni DRC,Angola ili usalama uwe kikwazo.
 
Tutumie akili kubwa sasa tuanze kuboresha Tazara kuwa katika kiwango cha SGR inayotumia umeme.

TAZARA ikiboreshwa kuwa kiwango cha SGR na ikawa inatumia umeme, kuna iwezekano mkubwa Nchi za Marekani zikafika Asia kupitia Corridor ya Robito na Reli ya TAZARA hasa kwa sababu ya shughuli za Kigaidi za waasi wa Houthi katika njia ya Bahari ya Yemen.

Wenzetu wanawaza mbali sana. Mzigo ukifika Robito utaweza kufikishwa Bahari ya Hindi kupitia Bandari ya DSM kwa haraka sana na kuendelea na Safari kuelekea Bara la Asia. au nchi za Mashariki mwa Afrika.

Pia hii inaweza ikawa fursa kwetu endapo tukiamua kufanya kama Indonesia hasa kwa kuwalazimisha kutengeneza kiwanda cha Battery za Umeme hapa Tanzania. Wanaweza kutengeneza kiwanda Tanzania, wakawa wanaleta hadi madini wanayotoa Congo hapa Tanzania na kutengeneza hizo battery then zikasafirishwa kwa Reli yetu kuelekea Marekani na hata Asia kwenye masoko.
 
OK; Mkuu. Je, ukilinganisha na manufaa/faida ipatikanayo kwa sasa tunapoitumia fursa ya Uhaba(Ukosefu)wa miundombinu ya kisasa iliyopo DRC, Zambia na Manufaa/Faida ya kuwa na miundombinu ya kisasa na kukosa kupitishwa kwa madini na bidhaa nyingine bandari ya Dar-es Salaam ni kipi bora zaidi?
Kwa wakati huu madini na bidhaa nyingine vinapitishwa Dar, lakini sioni tunanufaikaje na hilo. Bandari ya Dar imekuwa ni mzigo kwa Taifa hadi ikaonekana ni bora kuibinafsisha.
 
Mkuu badari imekodishwa kwa sababu ya utendaji mbovu.

Lakini kama hakuna ufanisi hiyo bandari itakimbiwa na wateja wake kwenda bandari nyingine kama Mombasa,Nacala,Beira,Richardabay,Durban nakuifanya Bandari zetu za Tanga,Dar,Zanzibar, Mtwara kuwa feeder ports.
Ikipatikana Kampuni yenye kifua and competent company kama DP World Dar-es'salaam Port itahudumia mizigo mingi mno mara tano au zaidi.
Tukija kwenye reli ya Lobito to Dar-es'salaam mimi siiungi mkono kabisa,Lobito itatunyanganya mizigo kwa faida ya nani?Isipoendelezwa ni faida kwa bandari za Africa Mashariki.
Sisi Tanzania tujikite kuishia DRC na Zambia hasa tujenge miundo mbinu ya kuunganisha Congo Mashariki na nchi yetu.
 

..TAZARA imeshaamuliwa kwamba Mchina aichukue na kuibadilisha toka Cape Gauge kuwa Standard Gauge.
 
Hii ina maana kwenye ushindani hatufurukuti sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…