sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
Mkuu nasikia wanasema vita vya uchumi ni ngumu sana.Hii ina maana kwenye ushindani hatufurukuti sio?
Tungeomba kimoyomoyo
angezaliwa Savimbi mwingine wa UNITA huko Angola ili wanaotaka kuipa shavu Bandari ya Lobito wachelewe sana au wakate tamaa.