Marekani yaipatia Tanzania billioni 12 kukabiliana na Corona

Dah..
Hii inauma sana! Yaani licha ya tripu za kamanda lissu kule washington na mhaini zitto ila bado tu mzungu hajawaelewa..
 
Hapo ndipo unapata jibu kwamba Mzungu siyo Mnafiki na Mzandiki. Hongera Zao sana
Tatizo kuna vilaza wanaongozwa na kigogo na kimambi wanaamini kuwa mzungu hana mwakilishi hapa tz anayeona kila kitu! Wanaamini wanatumia mitandao ya kijamii kujua ya tz.
 
Hii habari ni mbaya sana kwa masela wa kupinga kila kitu a.k.a nyumbu a.k.a wazee wa mtaa ufipa a.k.a makamanda feki a.k.a mazwazwa wa mbowe a.k.a...............(majina yako mengi unaweza kuongezea)πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
G Sam na timu yake wanachungulia na kuondoka hapa.
habari mbaya sana hii kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…