Wewe ni ccm mfia chamaMimi Kama chadema nimechukia marekan hamueleweki mnamsupport dicteta kwnn imeniuma sn
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni ccm mfia chamaMimi Kama chadema nimechukia marekan hamueleweki mnamsupport dicteta kwnn imeniuma sn
Namsikilizia da'Mange.Nakupongeza baba mchungaji kwa kutokuvaa barakoa-Mkuu.
Hatuwezi kuishi kwa kutegemea mavitambara puani-Mkuu.Namsikilizia da'Mange.
Da'Mange kasema.Hatuwezi kuishi kwa kutegemea mavitambara puani-Mkuu.
Kwamba ni donor..Da'Mange kasema.
Nilikuwa najuwa shirika hili halipo nchini, limerejea lini?Marekani imetangaza kuwa kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) itaongeza USD 2.4 M (Tsh. Bil. 5.6) ikiwa ni msaada kwa sekta ya afya kuimarisha uwezo wa maabara na upimaji wa kimaabara, jitihada za utoaji taarifa na miradi mingine mbalimbali.
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani leo imesema fedha hizi ni nyongeza ya msaada wa USD milioni moja unaolenga kusaidia mapambano dhidi ya kirusi corona uliotolewa hivi karibuni hivyo kufanya kiasi kipya cha pesa zilizotolewa kwa Tanzania kukabiliana na corona kufikia USD milioni 3.4.
Taarifa hiyo imesema kiasi kingine cha dola za kimarekani milioni 1.9 zilibadilishwa matumizi na kuelekezwa kwenye mapambano dhidi ya corona na kufanya jumla ya pesa zilizotolewa na Marekani katika kukabiliana na corona Tanzania hadi sasa kufikia jumla ya USD milioni 5.3 (Bilioni 12 Tsh. )
Mimi namwamini da'Mange tu kamanda.Kwamba ni donor..
Fuatilia hapaHaina ukweli ,hawatoi hata mia kwa Tanzania.
Dollar milioni 2 ni hela ndogo sana mzee...kwahiyo wale waliosema data zinatuponza tunyimwe misaada wanasimama upande gani sasa hivi[emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786].
unajaribu kuponya roho yako sasa.Dollar milioni 2 ni hela ndogo sana mzee...
Ni hela ya kutoka mfuko kwa mfanyabishara mdogo sana kama Davis Mosha and lower.
Kenya ni zaidi ya Trilioni moja ya Tanzania....NI Trilioni with a T!
Huu si msaada ni a game,na sio eti serikali ndio iipende USA,hii ni PR ya USA wananchi wasikie kitu "msaada" wazidi kuipenda USA na sio serikali mzee!
USA ni bingwa wa soft power!
Kipi nikiongea hutasema najiponya roho yangu?Mpaka niongee kumsifia bwana bure?unajaribu kuponya roho yako sasa.
Kenya kakopeshwa,wewe umeomba msamaha,hujapata huo msamaha!kenya wamekopeswa,wakati sisi badala yake tuliomba msamaha wa baadhi ya madeni.
Soma my post verbatim,nimesema obviously hivyo vibilioni viwili ni PR tu ya USA kujijenga kupitia njaa za serikali.wewe kwa akili yako serikali ikakope bilion mbili kweli
mashart yapi yamefuatwa sasa kutoa data au kupima watu??Kipi nikiongea hutasema najiponya roho yangu?Mpaka niongee kumsifia bwana bure?
Natoa what I think is okay with me,not you or bwana bure!
Kenya kakopeshwa,wewe umeomba msamaha,hujapata huo msamaha!
Msamaha huwezi pata mpaka ufuate masharti yao watakayoweka,one of them,haki za binadamu na demokrasia of which anapataga sifuri kila siku.
Msamaha,ni kwamba haupo kwa ufupi!
Soma my post verbatim,nimesema obviously hivyo vibilioni viwili ni PR tu ya USA kujijenga kupitia njaa za serikali.
Ni hela ya bure obviously,hata mngekopeshwa mngepokea maana mna njaa mpaka kwenye kope.
Kwa kifupi Kenya anajua kula na USA more than bwana bure will ever be,na Kenya has been on benefiting from this imperialism than anaybody,bwana bure is still sleeping,look him at his casket,never learn!
Unamkataa USA unaenda kwa Mchina as if Mchina ni somekind of this no-do-harm superpower wakati ni even lethal...Either China or USA,kote lazima utumike,give and take,bure do not know nothing about anything,thats why we are losing everywhere,wa kulaumu ni nyie cheerleaders wake!
Hujafata wanachotaka.mashart yapi yamefuatwa sasa kutoa data au kupima watu??
Nasubiri povu la bavicha na zitto.Marekani imetangaza kuwa kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) itaongeza USD 2.4 M (Tsh. Bil. 5.6) ikiwa ni msaada kwa sekta ya afya kuimarisha uwezo wa maabara na upimaji wa kimaabara, jitihada za utoaji taarifa na miradi mingine mbalimbali.
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani leo imesema fedha hizi ni nyongeza ya msaada wa USD milioni moja unaolenga kusaidia mapambano dhidi ya kirusi corona uliotolewa hivi karibuni hivyo kufanya kiasi kipya cha pesa zilizotolewa kwa Tanzania kukabiliana na corona kufikia USD milioni 3.4.
Taarifa hiyo imesema kiasi kingine cha dola za kimarekani milioni 1.9 zilibadilishwa matumizi na kuelekezwa kwenye mapambano dhidi ya corona na kufanya jumla ya pesa zilizotolewa na Marekani katika kukabiliana na corona Tanzania hadi sasa kufikia jumla ya USD milioni 5.3 (Bilioni 12 Tsh. )
💉💉💉💉💉💉💉💉💉💉💉💉💉💉💉💉💉💉💉💉💉💉💉... naona MATAGA unafurahia fedha za kibeberu!