Marekani yaipatia Tanzania billioni 12 kukabiliana na Corona

Marekani imetangaza kuwa kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) itaongeza USD 2.4 M (Tsh. Bil. 5.6) ikiwa ni msaada kwa sekta ya afya kuimarisha uwezo wa maabara na upimaji wa kimaabara, jitihada za utoaji taarifa na miradi mingine mbalimbali. #MillardAyoUPDATES
•
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani leo imesema fedha hizi ni nyongeza ya msaada wa USD milioni moja unaolenga kusaidia mapambano dhidi ya kirusi corona uliotolewa hivi karibuni hivyo kufanya kiasi kipya cha pesa zilizotolewa kwa Tanzania kukabiliana na corona kufikia USD milioni 3.4.
•
Taarifa hiyo imesema kiasi kingine cha dola za kimarekani milioni 1.9 zilibadilishwa matumizi na kuelekezwa kwenye mapambano dhidi ya corona na kufanya jumla ya pesa zilizotolewa na Marekani katika kukabiliana na corona Tanzania hadi sasa kufikia jumla ya USD milioni 5.3 (Bilioni 12 Tsh. )
Taarifa hyo......iko wapi wew kibwengu
 
Ungesema beberu kaipa msaada Tanzania
 
Away jamaa wanaipaje ela nchi ambayo Hakuna Uhuru imeniuma sn
Hii taarifa kama ni kweli, nadhani wapo sahihi kutusaidia. Kiufupi hali ni mbaya, japo tuna mbwembwe sana hasa tukiwa live kwenye vyombo vya habari
 
Mimi Kama chadema nimechukia marekan hamueleweki mnamsupport dicteta kwnn imeniuma sn
kama imekuuma muunge mkono rais magufuli.usiongozwe na propaganda za akina kigogo na mange.
kama marekani ndo msimaia haki za binadamu wameridhishwa na utendaji bora wa magufuli kwa nini na wewe usielekee kibla ukatubu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa hii FAKE NEWS haijaondolewa tu.
😳
 
Back
Top Bottom