Marekani yaipatia Tanzania billioni 12 kukabiliana na Corona

Marekani yaipatia Tanzania billioni 12 kukabiliana na Corona

Kwahiyo nchi za jirani ziliokubali kukopeshwa watakuwa wameingia mkenge? Ngoja sisi Tz tukomae na misaada sio kukopeshwa. Hapa kamuchezo ka paka na sungura.
 
Ni aibu kwa taifa kama Marekani kutoa peremende na kuhitaji kupongezwa. Lakini siwalaumu kwa sababu wametumia shirika lao dogo la USAID ambalo huwa mara nyingi hutoa peremende. Mbinu zao tunazifahamu hivyo hatuna wasi wasi nao kwa sababu hapo ndipo walipojikuna.
 
USAID Msaada huu unalenga kuimarisha uwezo wa maabara na upimaji wa kimaabara (laboratory capacity for optimal diagnostics), kusaidia jitihada za utoaji taarifa (risk communication) , miradi ya maji na usafi wa mazingira (water and sanitation), kuzuia na kudhibiti maambukizi, kutoa elimu ya afya kwa umma (public health messaging) na miradi mingine. /QUOTE]
 
kwahiyo wale waliosema data zinatuponza tunyimwe misaada wanasimama upande gani sasa hivi[emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786].
ukiwa Ndugu Mtazamaji unaenjoy sana[emoji23]
ndo mana tunaambiwa tusikilize sana kuliko kusema.
 
Tanzania hakuna corona, misaada ya nini tena
 
Hii imeniuma Sana ...nilidhani USA wataisakama serikali ya TZ lakini kumbe wako pamoja na JPM...Mimi sipendi kwa kweli...
Tehtehteh....Sasa sisi wapinzani tutamwendea Nani kupeleka umbeya wetu ?!?!..tehtehteh
[emoji16][emoji16][emoji16] muda huu wamekuwa USA na sio MABEBERU tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini serikali ya malaika haiwezi kupokea hiyo pesa, pesa ya nini wakati corona imeisha na jumapili tunashangilia ushindi?
 
Kwan chadema huwa hatusikilizwi😒😒😒😒
Mkuu serikali ya Marekani inafanya kazi na wananchi wa nchi mbalimbali duniani kupitia serikali zao na si vyama vya siasa.Any way ka swali kadogo.Hizi pesa niza nini?kwani corona haijaisha Tanzania?
 
Igweee

Siku chache baada ya mkuu wa Taifa kuviambia vyombo vyote vya nchi kutopokea msaada wowote wa vifaa vya kusaidia covid 19 Serikali ya Marekani kupitia shirika lake la misaada limetangaza msaada wa vifaa vyenye thamani ya USD 2.4M

Kwangu mimi naliita jaribu kwa utawala wa Mzee Magufuli. Maana huwenda kupitia wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki wanaweza kukataa vifaa nakuitaji pesa jambo litaenda kuibua kituko.

Hapa kuna siri kubwa sana na kuishinda ni serikali kupokea msaada ila wakiukataa nakutaka pesa kutaibuka kituko. Na wakiukataa msaada hapo pia wataenda kuamsha shinikizo kali kutoka USA jambo litausumbua uchumi wetu.

Ikumbukwe USD inasimamia Tshs 2338.86 wakati tukiwa na uwitaji mkubwa wa USD wenye USD wanatuambia watatuletea mzigo wa ku support Afya USD 2.4M hivi ni vifaa tiba na Wala sio dolari.

Let's keep silence and see what will happen.
 
wanajipendekeza mapimbi hao...

nani kawaomba misada ?
 
Back
Top Bottom