Marekani yaipatia Tanzania billioni 12 kukabiliana na Corona

kwahiyo wale waliosema data zinatuponza tunyimwe misaada wanasimama upande gani sasa hivi[emoji1786][emoji1786][emoji1786][emoji1786].
Donor country tunapokeaje misaada wakati sisi ndio tunapaswa kutoa misaada. Hiyo misaada baadae wakitugeuka na hela zao tumekula? Ukipenda vya bure ukiambiwa us... ukuta usilalamike.
 
Masharti ya misaada lazima ifuatwe, ukiwa maskini huna usemi wowote, unapokenua meno ukipokea msaada wao, ujue siku wakikuhitaji lazima uwe tayari kuachia kila kitu hadi wenyewe wachoke.
Waulize machangu inavyokuaga wakati wamelipwa kutoa huduma.
We jamaa bwana TZ sijui imekufanya nini wallay duu.Subiri waziri wa afya atatoa ufafanuzi
 
TZ sio Kenya wewe narudia tena kukumbusha.

hatukutoa data ili tupewe mikopo,hatutatoa data sababu tumepewa msaada wala mkopo[emoji23][emoji23][emoji23].

unaweza ukaona kwanini tuna kiburi,yaani ukiwa unajiamini bana raha sana.

Hela zao mlishatia kwenye pochi, hamna kingine zaidi ya kushikishwa...
Ukilamba hela zao huna kingine, haswa kwa maskini kama nyie watu.
 
Donor country tunapokeaje misaada wakati sisi ndio tunapaswa kutoa misaada. Hiyo misaada baadae wakitugeuka na hela zao tumekula? Ukip3nda vya bure ukiambiwa us... ukuta usilalamike.
hamna aliyeomba msaada we mzee.

ni sera ya USAID kuzisaidia nchi kupambana na hili zigo.kama wakirudi na masharti yao ya wazazi waendelee na shule,wataungwa mkono na wapinzani sio serikali.
 
Masharti ya misaada lazima ifuatwe, ukiwa maskini huna usemi wowote, unapokenua meno ukipokea msaada wao, ujue siku wakikuhitaji lazima uwe tayari kuachia kila kitu hadi wenyewe wachoke.
Waulize machangu inavyokuaga wakati wamelipwa kutoa huduma.
Mbona nyie nyang'au mmeacha kutaja taja Tanzania kwenye takwimu zenu feki siku hizi baada ya kupigwa mkwara mzito na wakuu wa mikoa ya Arusha, Mara, Kilimanjaro na Tanga?
 
Hela zao mlishatia kwenye pochi, hamna kingine zaidi ya kushikishwa...
Ukilamba hela zao huna kingine, haswa kwa maskini kama nyie watu.
kama nyinyi middle income mmezoea kushika ukuta hizo ni starehe zenu,msisingizie kulazimishwa[emoji23][emoji23][emoji23].

narudia tena,subiri uone data watakazopewa,zikionyesha maambukizi kupungua,mind you usijesema tumetoa ripoti ya hivyo sababu ya vihela mbuzi.maana kauli hii imeshatolewa na jpm tokea wiki iliyopita,kwamba maambukizi yanashuka na wagonjwa wanapungua.
 
Marekani imetangaza kuwa kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) itaongeza USD 2.4 M (Tsh. Bil. 5.6) ikiwa ni msaada kwa sekta ya afya kuimarisha uwezo wa maabara na upimaji wa kimaabara, jitihada za utoaji taarifa na miradi mingine mbalimbali. #MillardAyoUPDATES
•
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani leo imesema fedha hizi ni nyongeza ya msaada wa USD milioni moja unaolenga kusaidia mapambano dhidi ya kirusi corona uliotolewa hivi karibuni hivyo kufanya kiasi kipya cha pesa zilizotolewa kwa Tanzania kukabiliana na corona kufikia USD milioni 3.4.
•
Taarifa hiyo imesema kiasi kingine cha dola za kimarekani milioni 1.9 zilibadilishwa matumizi na kuelekezwa kwenye mapambano dhidi ya corona na kufanya jumla ya pesa zilizotolewa na Marekani katika kukabiliana na corona Tanzania hadi sasa kufikia jumla ya USD milioni 5.3 (Bilioni 12 Tsh. )
Hii imeniuma Sana ...nilidhani USA wataisakama serikali ya TZ lakini kumbe wako pamoja na JPM...Mimi sipendi kwa kweli...
Tehtehteh....Sasa sisi wapinzani tutamwendea Nani kupeleka umbeya wetu ?!?!..tehtehteh
 
Marekani imetangaza kuwa kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) itaongeza USD 2.4 M (Tsh. Bil. 5.6) ikiwa ni msaada kwa sekta ya afya kuimarisha uwezo wa maabara na upimaji wa kimaabara, jitihada za utoaji taarifa na miradi mingine mbalimbali. #MillardAyoUPDATES
•
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani leo imesema fedha hizi ni nyongeza ya msaada wa USD milioni moja unaolenga kusaidia mapambano dhidi ya kirusi corona uliotolewa hivi karibuni hivyo kufanya kiasi kipya cha pesa zilizotolewa kwa Tanzania kukabiliana na corona kufikia USD milioni 3.4.
•
Taarifa hiyo imesema kiasi kingine cha dola za kimarekani milioni 1.9 zilibadilishwa matumizi na kuelekezwa kwenye mapambano dhidi ya corona na kufanya jumla ya pesa zilizotolewa na Marekani katika kukabiliana na corona Tanzania hadi sasa kufikia jumla ya USD milioni 5.3 (Bilioni 12 Tsh. )
Mkuu marekebisho kidogo ya heading ya post yako. Hapo ulipoanza na marekani weka Mabeberu!!
 
Ahsanteni sana ila ni kidogo kuliko mlizo wapatia wenzetu hata Malawi na Rwanda walipewa nyingi
 
Kama taarifa hii niya kweli basi huo msaaada upokelewe kwa umakini mkubwa. Mabeberu wa mbinu nyingi sana za kutekeleza ubeberu wao
 
Kwa msada huu utatowa takwimu kutaka usitake,
Maana unawezeshwa ili uweze ku facilitate upatikanaji wa takwimu,
Halafu Tanzania ianze leta longo longo,
TUkione cha mtema kuni.
 
Marekani imetangaza kuwa kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) itaongeza USD 2.4 M (Tsh. Bil. 5.6) ikiwa ni msaada kwa sekta ya afya kuimarisha uwezo wa maabara na upimaji wa kimaabara, jitihada za utoaji taarifa na miradi mingine mbalimbali. #MillardAyoUPDATES
•
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani leo imesema fedha hizi ni nyongeza ya msaada wa USD milioni moja unaolenga kusaidia mapambano dhidi ya kirusi corona uliotolewa hivi karibuni hivyo kufanya kiasi kipya cha pesa zilizotolewa kwa Tanzania kukabiliana na corona kufikia USD milioni 3.4.
•
Taarifa hiyo imesema kiasi kingine cha dola za kimarekani milioni 1.9 zilibadilishwa matumizi na kuelekezwa kwenye mapambano dhidi ya corona na kufanya jumla ya pesa zilizotolewa na Marekani katika kukabiliana na corona Tanzania hadi sasa kufikia jumla ya USD milioni 5.3 (Bilioni 12 Tsh. )
Kwani Tanzania bado kuna Corona ?
 
Back
Top Bottom