Marekani yaitamani demokrasia ya Kenya

Unamaanisha demokrasia hii ambayo Odinga anasema mwenyekiti wa tume alikuja na jina la mgombea wake wa uraisi mfukoni au?
 
Unamaanisha demokrasia hii ambayo Odinga anasema mwenyekiti wa tume alikuja na jina la mgombea wake wa uraisi mfukoni au?
Fuatilia basi japo kidogo kwa yanayoendelea Kenya kuhusu huo uchaguzi!
Kwa ule uwazi wa hiyo kesi...CCM mkasome.
 
Fuatilia basi japo kidogo kwa yanayoendelea Kenya kuhusu huo uchaguzi!
Kwa ule uwazi wa hiyo kesi...CCM mkasome.
CCM tukasome au watanzania mkasome? Sumaye alipoambiwa asijaribu kuonja sumu kwa ulimi kisa anataka apambane na mwenyekiti wa Chadema kwenye uchafuzi wa ndani wewe ulikuwa wapi?

Kwamba mwenyekiti wa chama akae madarakani zaidi ya miaka 15 na kuendelea ndio demokrasia hiyo?
 
Sumaye naye ni zero brain tu. Kauli ya sumu haionjwi ili maanisha kuwa hawawezi kumuamini mtu aliyekuwa CCM miaka yote akabidhiwe chama ingekuwa jaribio la hatari sawa na kuonja sumu. Naona vilaza wa CCM mumeupokea uwongo wa Mr. Zero bila kuupembua.
 
Mbona unaweweseka tena!?

Mimi ninaongelea chama kinachoongoza serikali iliyoko madarakani. Chadema imeingiaje hapa?
 
Nimeona mahala wanasema Kenya ndio taifa ambalo raia hupiga kura kuchagua washindi, lakini majaji ndio waamuzi wa mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…