Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo bilashaka atakuwa bi deni huyo🤔Soma mwenyewe hapa. Lumumba kwa kuwa hamjui kiingereza mtafuatilia komenti ili kujua kilichoandikwa.
View attachment 2343743
Angalia mapicha ya Koome hayosept 2017
Bi Deni 🙄bi deni
Bi deni ama Biden?Huyo bilashaka atakuwa bi deni huyo🤔
Fuatilia basi japo kidogo kwa yanayoendelea Kenya kuhusu huo uchaguzi!Unamaanisha demokrasia hii ambayo Odinga anasema mwenyekiti wa tume alikuja na jina la mgombea wake wa uraisi mfukoni au?
CCM tukasome au watanzania mkasome? Sumaye alipoambiwa asijaribu kuonja sumu kwa ulimi kisa anataka apambane na mwenyekiti wa Chadema kwenye uchafuzi wa ndani wewe ulikuwa wapi?Fuatilia basi japo kidogo kwa yanayoendelea Kenya kuhusu huo uchaguzi!
Kwa ule uwazi wa hiyo kesi...CCM mkasome.
CCM tukasome au watanzania mkasome? Sumaye alipoambiwa asijaribu kuonja sumu kwa ulimi kisa anataka apambane na mwenyekiti wa Chadema kwenye uchafuzi wa ndani wewe ulikuwa wapi?
Kwamba mwenyekiti wa chama akae madarakani zaidi ya miaka 15 na kuendelea ndio demokrasia hiyo?
Mbona unaweweseka tena!?CCM tukasome au watanzania mkasome? Sumaye alipoambiwa asijaribu kuonja sumu kwa ulimi kisa anataka apambane na mwenyekiti wa Chadema kwenye uchafuzi wa ndani wewe ulikuwa wapi?
Kwamba mwenyekiti wa chama akae madarakani zaidi ya miaka 15 na kuendelea ndio demokrasia hiyo?