Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
- Thread starter
- #21
Wasimpige Israel 😄Vikwazo vipi wamepewa..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasimpige Israel 😄Vikwazo vipi wamepewa..?
AaaaaahaaaKwanza shukrani zangu ziende kwa moderator aliye fanya kanzi nzuri sana hapa.
Nikirudi kwenye mada Israel alikuwa anapewa sifavl za bandia oh anaweza kujilinda bila kusaidiwa oh Mungu wa Ibrahim Ishaq na Yakobo ndio analilinda taifa teule 😄 Yani mataifa mengine yote Mungu hayalindi, sa sisi tunawajibu Mungu wa Ibrahim, Ismaili, Ishaq na Yakobo ndio anatulinda sisi sote isipokuwa Israel naona analindwa na THAAD ya USA 😄
we nawe wa cheka tu...sasa mshirika wa hezbollah ni nani,basi tuseme Iran sasa hao Iran wanafanya biashara gani na USAUkiwekewa vikwazo na Marekani, maana yake washirika wako inabidi wafanye biashara na wewe kwa siri, otherwise nao watawekewa vikwazo.
😂😂😂😂😂😂😂!
Ndugu, kwani kuna mtu hajui?Mkitaka kujua anaye pigana vita hi kati ya Israel na Hamas, pamoja na Hezbullah ni US. Leo US eti anaipiga sunction Hezbullah, nimecheka kweli kweli, toka lini Hezbullah ana biashara na US. Wacha US hata UN aipige Hezbullah sunction kipigo kinaendelea huko Israel.
US kisha changan'yikiwa kipigo anacho tembezewa Israel na Hezbullah.
---
WASHINGTON, Oct 16 (Reuters) - The United States imposed sanctions on Tuesday on what it described as a Lebanon-based sanctions evasion network that funnels millions of dollars to Hezbollah.
The action targeted three individuals linked to Hezbollah's finance arm and four Lebanon-based companies registered to conceal ties to the militant group, according to a Treasury Department statement.
The U.S. also sanctioned three individuals involved in the production and sale of the amphetamine known as captagon, who it said have funded the regime of Syrian President Bashar al-Assad and its allies, including Hezbollah."Today's action underscores (Hezbollah's) destabilizing influence within Lebanon and on the wider region, as the group, its affiliates, and its supporters continue to finance their operations through covert involvement in commercial trade and the illicit trafficking of captagon,” Bradley T. Smith, acting undersecretary of Treasury for terrorism and financial intelligence, said in the statement.
Source: Reuters
Kuna issues za Siri za washirika wa Hezbollah ambazo US anazifahamu,kwa ufupi ni kuwa kuna wakati wale wanaosemekana ni Magaidi wanatumiwa na wale waliowawekea vikwazo kufanya deal za Siri zikiwemo za zile za kumtumia kumhalasi wanayemsaidie ili aendelee kumtumia kutawala wengine.Sasa unawekeaje vikwazo kikundi ambacho umeshakiita Cha kigaidi Tangu miaka kibao iliyopita?.
EMANUEL MACRON anataka kutoboa Siri iliyofichika miaka mingi,,unaposema Lebanon ndipo Ufaransa ......sasa US anataka kuingilia maslahi ya French Lebanon kupitia Israel,....Ndugu, kwani kuna mtu hajui?
Marekani na Israel ni ndugu wasioachana, katika shida na raha.
Tuliza wenge, vikwazo sio biashara pekee(kuuza na kununua), inajumuisha kusafiri, account zako kuwa frozen, washirika wako,n. K. Tukiwaambia kobazi mwende shule mnasema elimu dunia hamuitaki ona sasa unavyo dhalilika humu.Swali toka lini Hezbullah walikuwa na bussiness na US, swali la pili ukisha muita mtu gaidi afu umuingize kwenye sunction ina mana wewe ndio baba wa magaidi 😄
Hivi huoni US kama zimefyatuko? Ana kiri kumbe alikuwa na biashara na Hezbullah kwa njia moja au ingine, vipi umpige sunction kama hana biashara na wewe.
Nikikuambia wewe hata primary education hujamaliza unabisha napo ongelea Sunction in terms of bussiness nonavyo fahamu.mimi na watu walio soma ni kwamba; All Business Strategies Fall into 4 Categories. Tatizo lako wewe upo kucreated multiple user's names sa ngapi utakuwa na akili. We unadhani US ndio ana control kila kitu sa jiulize toka lini sunction ya US iliwazuia Iran kufanya biashara au kusafiri, pia North Korea, na Mrusi kama hata kusafiri huwezi kusafiri 😄Tuliza wenge, vikwazo sio biashara pekee(kuuza na kununua), inajumuisha kusafiri, account zako kuwa frozen, washirika wako,n. K. Tukiwaambia kobazi mwende shule mnasema elimu dunia hamuitaki ona sasa unavyo dhalilika humu.
Pia leo mmekuja na agenda kwamba hamas na hesbl ni makundi ya USA? Kwa hiyo hayapiganii tena taifa la mchongo la Palestina?
Tatizo walishtukizwa na hivyo kuharibu plans zao zote..Hezbola sasa hivi wanaomba Amani 😆 sasa nini ilikuwa Objective yao?
Iran kawekewa vikwazo chungu nzima tangu miaka ya 70 huko lakini anazidi kunawiri wala vikwazo havimuathiri kwa namna yoyote.Ukiwekewa vikwazo na Marekani, maana yake washirika wako inabidi wafanye biashara na wewe kwa siri, otherwise nao watawekewa vikwazo.
Hizbullah anafanya biashara gani?Ukiwekewa vikwazo na Marekani, maana yake washirika wako inabidi wafanye biashara na wewe kwa siri, otherwise nao watawekewa vikwazo.
Mi huangalia aljazeera kutwa nzima,sioni hicho kipigo kwa hizbullah zaidi ya kubomoa majumbaHezbollah ya jamii forum inagawa kipigo kweli ila ukiangalia hata Al Jazeera unaogopa sana kwa wanachofanyiwa Hezbollah na Lebanon 😂😂😂😂
Sio kwamba walikuwa wamejiandaa tokea October 8?!Tatizo walishtukizwa na hivyo kuharibu plans zao zote..
Ndio hapo tunashangaa kumbe magaidi walikua na system inayotambulika na wanafanya kazi na makampuni mpk ya ulayaSasa unawekeaje vikwazo kikundi ambacho umeshakiita Cha kigaidi Tangu miaka kibao iliyopita?.
Yaani uko vitani alafu unapigwa mabomu unasema umeshtukizwaTatizo walishtukizwa na hivyo kuharibu plans zao zote..