Marekani yaiwekea vikwazo Hezbullah

Aaaaaahaaa
 
Hezbollah ya jamii forum inagawa kipigo kweli ila ukiangalia hata Al Jazeera unaogopa sana kwa wanachofanyiwa Hezbollah na Lebanon πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndugu, kwani kuna mtu hajui?

Marekani na Israel ni ndugu wasioachana, katika shida na raha.
 
Sasa unawekeaje vikwazo kikundi ambacho umeshakiita Cha kigaidi Tangu miaka kibao iliyopita?.
Kuna issues za Siri za washirika wa Hezbollah ambazo US anazifahamu,kwa ufupi ni kuwa kuna wakati wale wanaosemekana ni Magaidi wanatumiwa na wale waliowawekea vikwazo kufanya deal za Siri zikiwemo za zile za kumtumia kumhalasi wanayemsaidie ili aendelee kumtumia kutawala wengine.
Kuna simtofahamu itakuja kati ya French na USA....siku si nyingi
 
Ndugu, kwani kuna mtu hajui?

Marekani na Israel ni ndugu wasioachana, katika shida na raha.
EMANUEL MACRON anataka kutoboa Siri iliyofichika miaka mingi,,unaposema Lebanon ndipo Ufaransa ......sasa US anataka kuingilia maslahi ya French Lebanon kupitia Israel,....
Siku zijazo tutajua ya kuwa sponsor wa Hezbollah ni.....Komasava
 
Tuliza wenge, vikwazo sio biashara pekee(kuuza na kununua), inajumuisha kusafiri, account zako kuwa frozen, washirika wako,n. K. Tukiwaambia kobazi mwende shule mnasema elimu dunia hamuitaki ona sasa unavyo dhalilika humu.
Pia leo mmekuja na agenda kwamba hamas na hesbl ni makundi ya USA? Kwa hiyo hayapiganii tena taifa la mchongo la Palestina?
 
Nikikuambia wewe hata primary education hujamaliza unabisha napo ongelea Sunction in terms of bussiness nonavyo fahamu.mimi na watu walio soma ni kwamba; All Business Strategies Fall into 4 Categories. Tatizo lako wewe upo kucreated multiple user's names sa ngapi utakuwa na akili. We unadhani US ndio ana control kila kitu sa jiulize toka lini sunction ya US iliwazuia Iran kufanya biashara au kusafiri, pia North Korea, na Mrusi kama hata kusafiri huwezi kusafiri πŸ˜„

Na nani anakuambia Hezbullah hawapo kwenye sunction ya US, huwa nwimbo mpya ni dalili wameishiwa hawana jipya.
 
Hezbola sasa hivi wanaomba Amani πŸ˜† sasa nini ilikuwa Objective yao?
 
Ukiwekewa vikwazo na Marekani, maana yake washirika wako inabidi wafanye biashara na wewe kwa siri, otherwise nao watawekewa vikwazo.
Iran kawekewa vikwazo chungu nzima tangu miaka ya 70 huko lakini anazidi kunawiri wala vikwazo havimuathiri kwa namna yoyote.

Kaiwekea vikwazo Urusi na China lakini ndiyo mataifa ma giants kwa uchumi.
 
Sasa unawekeaje vikwazo kikundi ambacho umeshakiita Cha kigaidi Tangu miaka kibao iliyopita?.
Ndio hapo tunashangaa kumbe magaidi walikua na system inayotambulika na wanafanya kazi na makampuni mpk ya ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…