EMANUEL MACRON anataka kutoboa Siri iliyofichika miaka mingi,,unaposema Lebanon ndipo Ufaransa ......sasa US anataka kuingilia maslahi ya French Lebanon kupitia Israel,....
Siku zijazo tutajua ya kuwa sponsor wa Hezbollah ni.....Komasava
Usichokijua Bank za China zinatoa UNCONDITIONAL LOANS AND FINANCIAL AIDS TO RUSSIA.
TEna sio tu mikopo bali hadi msaada wa kifedha usiokua na masharti.
Embu fuatilieni ninyi.
Au hujui kama USA 2023 imeipiga vikwazo China kwa kuisaidia Russia kifedha!?
Russia imesimama hivi imara licha ya vikwazo vyote kwa usaidizi wa kiuchumi kutoka kwa THE GIANT FUSA CHINA.