Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Kutengeneza na kufadhili ni vitu viwili tofauti, by the way chief nchi gani inaongoza kwa utafiti wa magonjwa duniani?Unaongea pumba sana, madawa mengi yanayotengenezwa na America Big Pharma wanategemea kuimport ingredients kutoka China
Kwa sasa China imeipiku Ulaya kwenye pharmaceutical sector inachuana na Marekani