Marekani yajiondoa rasmi uanachama kwenye shirika la Afya Duniani (WHO)

Marekani yajiondoa rasmi uanachama kwenye shirika la Afya Duniani (WHO)

Uszuri Us sio km Africa km rais ngo anaamua anafanya anachotaka
Trump toka alivyoingia alisema WHO walizembea sana kwenye janga la corona na USA wanatoa hela nyingi kaamua kusaini kujitoa huku WHO wakiwa wanadaiwa usd 246m ambazo USA walitakiwa kutoa na wamegoma kutoa naona WHO wameanza vikao vya jinsi ya kuliweka hilo deni kisheria..
 
Hakuna aliyesema ni pekee
Ila ndo anaetoa kwa sehem kubwa
Sawa ila uzuri dunia siyo Marekani peke yake hapo U.N wao wanachangia karibu 23%

Kwa mfano Marekani ameizidi China kwa 5% tu kusema anatoa kwa sehemu kubwa sio sahihi

Let say ingekuwa Marekani inachangia kwa 50% peke yake halafu mataifa mengine yaliyobaki yawe yote kwa pamoja 50% hapo sawa
 
Trump toka alivyoingia alisema WHO walizembea sana kwenye janga la corona na USA wanatoa hela nyingi kaamua kusaini kujitoa huku WHO wakiwa wanadaiwa usd 246m ambazo USA walitakiwa kutoa na wamegoma kutoa naona WHO wameanza vikao vya jinsi ya kuliweka hilo deni kisheria..
Sawa point yangu ni kuwa
Hana ubavu wa kuamua kitu peke yake km huku kwetu
We zetu miimili inajitegemea so anaweza pigwa mahakamani, bungeni sio km huku
 
Namaanisha kwenye G20 ukitoa Marekani yatabaki mataifa 19

Kila moja likiongeza 1% kwenye michango yao katika mashirika ya U.N watakuwa jumla wameongeza 19%

Na mataifa mengine yakijipigapiga wanaweza kufidia hiyo 4% iliyobaki kukamilisha 23%
Unadhani ni rahisi tu kuongeza 1% mkuu, kumbuka uchumi wa mataifa mengi duniani un depreciate, kwanza wengi wanawaza kupunguza hizi contributions, wewe unawaza wataongeza tu?
 
Unadhani ni rahisi tu kuongeza 1% mkuu, kumbuka uchumi wa mataifa mengi duniani un depreciate, kwanza wengi wanawaza kupunguza hizi contributions, wewe unawaza wataongeza tu?
Hata kama sio rahisi, na ikishindikana U.N wanaweza kuamua kupunguza gharama za matumizi yao na kubalance kufanya matumizi kulingana na kile kilichopo
 
Hata kama sio rahisi, na ikishindikana U.N wanaweza kuamua kupunguza gharama za matumizi yao na kubalance kufanya matumizi kulingana na kile kilichopo
Kinachotokea ni nchi wanufaika kupunguziwa misaada, wala usitengeneze theories hapo mkuu. Usidhani kuongeza 1% ni kitu rahisi tu.
 
Kama walikuwa wanatoa dawa na vifaatiba lakini ilikuwa tunavipata kwa gharama kubwa au kukosa kabisa
Itakuwaje kwa sasa?

Wale wazinzi hii ni bad newz!
 
Sawa point yangu ni kuwa
Hana ubavu wa kuamua kitu peke yake km huku kwetu
We zetu miimili inajitegemea so anaweza pigwa mahakamani, bungeni sio km huku
Hata mimi mwanzo nilikua naamini hivyo hilo la WHO lishapita maana ilikua ndio sera yake kama kuifuta USAID na kafanikiwa..
 
Kwani US ndio mwenye kubeba jukumu la kugharamia afya za raia wa nchi nyingine?
Kama wao wakubwa walikaa kutokana na vipato vyao waliona wachangie kwa % kadhaa na memorandum wametengeneza wao ukiniuliza mimi unataka nifanyeje mkuu hiyo WHO ya leo mpaka unauliza hayo maswali Mkuu..
 
Kwa hiyo China hawafadhili utafiti wa magonjwa?
Sijui kwa nini watu wanaichukulia poa China wakati kwa mimi naona ndio mkombozi wa biashara nyingi Duniani kabla ya China kushika soko bei za bidhaa na upatikanaji wake ulikua kwa gharama kubwa sana tofauti na sasa hivi..
 
Mchina karahisisha sana maisha duniani utakuta mtu anamponda Mchina kwa kutumia tambo kutoka Shenzhen au parts zake ni made in China
 
Back
Top Bottom