Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Kutengeneza na kufadhili ni vitu viwili tofauti, by the way chief nchi gani inaongoza kwa utafiti wa magonjwa duniani?Unaongea pumba sana, madawa mengi yanayotengenezwa na America Big Pharma wanategemea kuimport ingredients kutoka China
Kwa sasa China imeipiku Ulaya kwenye pharmaceutical sector inachuana na Marekani
Kwa hiyo China hawafadhili utafiti wa magonjwa?Kutengeneza na kufadhili ni vitu viwili tofauti, by the way chief nchi gani inaongoza kwa utafiti wa magonjwa duniani?
Mbona sijaaona hapo who are youAcheni stori za vijiweni
Hivi huwa mnafikiri Marekani ndiyo contributor pekee wa U.N?
Katika bajeti ya mashirika ya U.N baada ya Marekani inayofuata ni China kwa kuchangia bajeti kubwa
Kwenye kila msaada unaopata kupitia mashirika ya U.N ujue kuwa China ameshakuchangia
Top 10 UN budget contributors:
🇺🇲USA (22.89%)
🇨🇳China (17.21%)
🇯🇵Japan (8.56%)
🇩🇪Germany (6.09%)
🇬🇧UK (5.79%)
🇫🇷France (5.61%)
🇮🇹Italy (3.30%)
🇷🇺Russian (3.04%)
🇨🇦Canada (2.73%)
🇰🇷South Korea (2.26%)
Means gap la USA litafidiwa na nchi zilizobakia.Acheni stori za vijiweni
Hivi huwa mnafikiri Marekani ndiyo contributor pekee wa U.N?
Katika bajeti ya mashirika ya U.N baada ya Marekani inayofuata ni China kwa kuchangia bajeti kubwa
Kwenye kila msaada unaopata kupitia mashirika ya U.N ujue kuwa China ameshakuchangia
Top 10 UN budget contributors:
🇺🇲USA (22.89%)
🇨🇳China (17.21%)
🇯🇵Japan (8.56%)
🇩🇪Germany (6.09%)
🇬🇧UK (5.79%)
🇫🇷France (5.61%)
🇮🇹Italy (3.30%)
🇷🇺Russian (3.04%)
🇨🇦Canada (2.73%)
🇰🇷South Korea (2.26%)
Yeye ni wa kusaidiwa tuMbona sijaaona hapo who are you
Exactly broMeans gap la USA litafidiwa na nchi zilizobakia.
Hizo ni figure za kwenye makaratasi tu, hakuna nchi iyotoa cash mara kwa mara kwenye operetion za WHO zaidi ya Marekani. Hao wa china wanafigure kubwa tu sio watoaji, fuatilia shughuli za WHO nguvu ya pesa wanaitoa wapi. Kujiondoa kwa marekani ni pigo kubwa kwa shughuli za kila siku za WHO.Acheni stori za vijiweni
Hivi huwa mnafikiri Marekani ndiyo contributor pekee wa U.N?
Katika bajeti ya mashirika ya U.N baada ya Marekani inayofuata ni China kwa kuchangia bajeti kubwa
Kwenye kila msaada unaopata kupitia mashirika ya U.N ujue kuwa China ameshakuchangia
Top 10 UN budget contributors:
🇺🇲USA (22.89%)
🇨🇳China (17.21%)
🇯🇵Japan (8.56%)
🇩🇪Germany (6.09%)
🇬🇧UK (5.79%)
🇫🇷France (5.61%)
🇮🇹Italy (3.30%)
🇷🇺Russian (3.04%)
🇨🇦Canada (2.73%)
🇰🇷South Korea (2.26%)
Haya tuambie figure za MarekaniHizo ni figure za kwenye makaratasi tu, hakuna nchi iyotoa cash mara kwa mara kwenye operetion za WHO zaidi ya Marekani. Hao wa china wanafigure kubwa tu sio watoaji, fuatilia shughuli za WHO nguvu ya pesa wanaitoa wapi. Kujiondoa kwa marekani ni pigo kubwa kwa shughuli za kila siku za WHO.
Sasa unadhani hiyo 23% jamaw wakijiondoa ni ndogo? 13 billion usd sio ndogo na itaathiri sana nchi zinazonufaika.Acheni stori za vijiweni
Hivi huwa mnafikiri Marekani ndiyo contributor pekee wa U.N?
Katika bajeti ya mashirika ya U.N baada ya Marekani inayofuata ni China kwa kuchangia bajeti kubwa
Kwenye kila msaada unaopata kupitia mashirika ya U.N ujue kuwa China ameshakuchangia
Top 10 UN budget contributors:
🇺🇲USA (22.89%)
🇨🇳China (17.21%)
🇯🇵Japan (8.56%)
🇩🇪Germany (6.09%)
🇬🇧UK (5.79%)
🇫🇷France (5.61%)
🇮🇹Italy (3.30%)
🇷🇺Russian (3.04%)
🇨🇦Canada (2.73%)
🇰🇷South Korea (2.26%
Ni sawa sio ndogo lakini hata akijitoa kuna namna mataifa yatafidia.S
Sasa unadhani hiyo 23% jamaw wakijiondoa ni ndogo? 13 billion usd sio ndogo na itaathiri sana nchi zinazonufaika.
You're not serious mkuuNi sawa sio ndogo lakini hata akijitoa kuna namna mataifa yatafidia.
Mataifa ya G20 ukitoa Marekani yakiongeza tu 1% si haba
Hii dunia ilikuwepo hata kabla ya Marekani na maisha yalienda na yataenda hata wasuse
Namaanisha kwenye G20 ukitoa Marekani yatabaki mataifa 19You're not serious mkuu
Uzuri Us sio km Africa km rais ndo anaamua anafanya anachotakaTrump ni mbinafsi sana...
Hakuna aliyesema ni pekeeAcheni stori za vijiweni