Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Trump toka alivyoingia alisema WHO walizembea sana kwenye janga la corona na USA wanatoa hela nyingi kaamua kusaini kujitoa huku WHO wakiwa wanadaiwa usd 246m ambazo USA walitakiwa kutoa na wamegoma kutoa naona WHO wameanza vikao vya jinsi ya kuliweka hilo deni kisheria..Uszuri Us sio km Africa km rais ngo anaamua anafanya anachotaka
🤣🤣🤣Buzi la kichina halitoi pesa sasa nimihaho kila kona
Sawa ila uzuri dunia siyo Marekani peke yake hapo U.N wao wanachangia karibu 23%Hakuna aliyesema ni pekee
Ila ndo anaetoa kwa sehem kubwa
Sawa point yangu ni kuwaTrump toka alivyoingia alisema WHO walizembea sana kwenye janga la corona na USA wanatoa hela nyingi kaamua kusaini kujitoa huku WHO wakiwa wanadaiwa usd 246m ambazo USA walitakiwa kutoa na wamegoma kutoa naona WHO wameanza vikao vya jinsi ya kuliweka hilo deni kisheria..
Unadhani ni rahisi tu kuongeza 1% mkuu, kumbuka uchumi wa mataifa mengi duniani un depreciate, kwanza wengi wanawaza kupunguza hizi contributions, wewe unawaza wataongeza tu?Namaanisha kwenye G20 ukitoa Marekani yatabaki mataifa 19
Kila moja likiongeza 1% kwenye michango yao katika mashirika ya U.N watakuwa jumla wameongeza 19%
Na mataifa mengine yakijipigapiga wanaweza kufidia hiyo 4% iliyobaki kukamilisha 23%
Hata kama sio rahisi, na ikishindikana U.N wanaweza kuamua kupunguza gharama za matumizi yao na kubalance kufanya matumizi kulingana na kile kilichopoUnadhani ni rahisi tu kuongeza 1% mkuu, kumbuka uchumi wa mataifa mengi duniani un depreciate, kwanza wengi wanawaza kupunguza hizi contributions, wewe unawaza wataongeza tu?
Kinachotokea ni nchi wanufaika kupunguziwa misaada, wala usitengeneze theories hapo mkuu. Usidhani kuongeza 1% ni kitu rahisi tu.Hata kama sio rahisi, na ikishindikana U.N wanaweza kuamua kupunguza gharama za matumizi yao na kubalance kufanya matumizi kulingana na kile kilichopo
Ni sawa tu ila maisha yataendaKinachotokea ni nchi wanufaika kupunguziwa misaada, wala usitengeneze theories hapo mkuu. Usidhani kuongeza 1% ni kitu rahisi tu.
Hiyo sio orodha ya wanaoongoza kwa kuua raia wasiyo na hatia ingekuwa ni hiyo basi ungemuona tena akiwa wa kwanza kwanza.Mbona sijaaona hapo who are you
Hata mimi mwanzo nilikua naamini hivyo hilo la WHO lishapita maana ilikua ndio sera yake kama kuifuta USAID na kafanikiwa..Sawa point yangu ni kuwa
Hana ubavu wa kuamua kitu peke yake km huku kwetu
We zetu miimili inajitegemea so anaweza pigwa mahakamani, bungeni sio km huku
Kwani US ndio mwenye kubeba jukumu la kugharamia afya za raia wa nchi nyingine?Trump ni mbinafsi sana...
Kama wao wakubwa walikaa kutokana na vipato vyao waliona wachangie kwa % kadhaa na memorandum wametengeneza wao ukiniuliza mimi unataka nifanyeje mkuu hiyo WHO ya leo mpaka unauliza hayo maswali Mkuu..Kwani US ndio mwenye kubeba jukumu la kugharamia afya za raia wa nchi nyingine?
Sijui kwa nini watu wanaichukulia poa China wakati kwa mimi naona ndio mkombozi wa biashara nyingi Duniani kabla ya China kushika soko bei za bidhaa na upatikanaji wake ulikua kwa gharama kubwa sana tofauti na sasa hivi..Kwa hiyo China hawafadhili utafiti wa magonjwa?
Mchina karahisisha sana maisha duniani utakuta mtu anamponda Mchina kwa kutumia tambo kutoka Shenzhen au parts zake ni made in ChinaSijui kwa nini watu wanaichukulia poa China wakati kwa mimi naona ndio mkombozi wa biashara nyingi Duniani kabla ya China kushika soko bei za bidhaa na upatikanaji wake ulikua kwa gharama kubwa sana tofauti na sasa hivi..