Marekani yajisifu kuwapiga wahouthi wa yemen

Marekani yajisifu kuwapiga wahouthi wa yemen

Ama wamarekani kwa sasa wameishiwa akili,eti leo wanajisifu kuwapiga maouthi wa yemen,yaani nchi inawapiga ngo????

Fimbo ya ukwaju, ati nini?😂😂😂😂

Middle East is done. Kunywa juice ya ukwaju usafishe tumbo
 
Ni vile tu Biden hajawa serious ila hili jambo liko ndani ya uwezo wao kabisa.
 
Ama wamarekani kwa sasa wameishiwa akili,eti leo wanajisifu kuwapiga maouthi wa yemen,yaani nchi inawapiga ngo????
Imekuuumaaaaaa eee mabikira wako wengi lazima tuwapeleke wanakostahili wahuni wotee
 
Trump hajaanza hapoo mkuu yule anajibu kwa moto sio hizi rk...
 
Akidundwa zayuni, anaerudisha ni choko mkubwa
 
Marekani kapiga houthi baada ya houthi kupiga choko wao israel kwa hypersonic missiles,kapiga ben gurion na kituo cha kufua umeme jerusalem
 
Shida technology vita kwasasa marekani na Israel wanaonekana washakuwa wachovu kias sasa imekuwa piga nikupige kutoka ilikuwa ukipiga nazuiya na nakukupiga sasa Wate wawili mtoto yani Israel na mjomba wake yan marekani wote wameshindwa kuzuiya technology ya myemen wanapigwa tu meri kubwa za Jesh zilipigwa uko Israel Telaviv ndio ivo mwaka mpya wamejikuta kwenye mashimo wanakimbaza na panya,
 
Back
Top Bottom