Marekani yajitoa rasmi Shirika la Afya Duniani WHO

Wachina watachukua nafasi ya US katika funding biashara imekwisha
Wachina hawana utamaduni huo! wao ni unyonyaji, ubaguzi na kupora mali za Africa intellectual property rights etc...
 
"Afrika sio na haitakuwa uwanja wa majaribio wa chanjo yoyote ya Corona," by Mkurugenzi Mkuu wa WHO Dkt Tedros Adhanom Ghebreyesus.

I think... hili zengwe lilianzia hapo. WHO kuiwekea 'kauzibe' chanjo ya 'Marekani' kujaribiwa Afrika.

-Kaveli-
 
Wachina hawana utamaduni huo! wao ni unyonyaji, ubaguzi na kupora mali za Africa intellectual property rights etc...
Ni kweli wachina hawana huo utamaduni lakini wasipofanya hivyo watapata tabu sana kwani nchi nyingi zitawashitaki na kudai fidia kutokana na hili janga ambalo linasemekana limeanzia kwao na hawajatoa ushirikiano na mapema.
 
Ni kweli wachina hawana huo utamaduni lakini wasipofanya hivyo watapata tabu sana kwani nchi nyingi zitawashitaki na kudai fidia kutokana na hili janga ambalo linasemekana limeanzia kwao na hawajatoa ushirikiano na mapema.
NA AFADHALI IWE HIVYO
 
Hatuwezi kutabiri the real motive ya US bila general meeting ya UN october, au mkutano wa baraza la usalama

Kwani hapo marekani anaongeza shinikizo kwa UN pia EU iliyoahidi kusimama na WHO kwani bila kuiwajibisha WHO na China mmarekani hatarudi licha ya uzembe wa trump kuchukua hatua lkn madhara lazima yangetokea, tusubiri huku tunaendelea kunawa.
 
Hivi Waziri wa Afya na ......... wa huko USA ni Dr. Ben Carson?
Afya ni Alex Azar na ndio Incharge saivi wa ile taskforce ya trump ya Corona ana act kama chairman ila ana report kwa VP mike pence, Ben carson professionally ni Medical ila yeye now ni Waziri wa Housing and urban development.

Na Ben carson pia yupo kwenye hio Taskforce mana ni mdau muhimu sana wa afya marekani
 
Trump is there to stay.

Wapiga ramli mtapiga sana ila mshikaji yuko pale hadi 2024.
Trump, The one term president and will go down as the worst president ever. Check approval ratting zake ndio utajua Mimi nasema nini.
 
Kuna mdau mmoja hapa tulibishana akasema trump hana ubavu mpaka senete nikamwambia haya subir uone nahis kaona matokeo
Kimsingi Demokrasia ya Marekani kwa separation of powers Senate ndio yenye maamuzi ya mwisho.
Lakini
 
Trump, The one term president and will go down as the worst president ever.
Check approval ratting zake ndio utajua Mimi nasema nini.
Achana na hizo ramli.

Hata 2016 hizi ramli zilikua zinasema hivyo hivyo.
 
Taifa linaloongoza kutoa msaada wa ARV na vifaa vya maabara ni India, inayotoa asilimia 65% ya dawa zote zinazoonekana Tanzania.
Muhindi anazalisha tuu but anaetoa hela ya hizo dawa kuanzia uzalishaji wake mpaka kugawa ni Marekani.
 
Muhindi anazalisha tuu but anaetoa hela ya hizo dawa kuanzia uzalishaji wake mpaka kugawa ni Marekani.
Mkuu wala sikatai katika hilo, lakini namaanisha hata India ni moja ya taifa linalojitoa kwa ukubwa katika haya mapambano. India kupitia Global Fund ambayo inasambaza dawa hizo kwa baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania, ndiyo yenye kuongoza kutoa kwa Tanzania. India
 
Unajua Global Fund inamilikiwa na Nchi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…