Wachina hawana utamaduni huo! wao ni unyonyaji, ubaguzi na kupora mali za Africa intellectual property rights etc...Wachina watachukua nafasi ya US katika funding biashara imekwisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachina hawana utamaduni huo! wao ni unyonyaji, ubaguzi na kupora mali za Africa intellectual property rights etc...Wachina watachukua nafasi ya US katika funding biashara imekwisha
Umri wake pia sio mdogo. Ni mzee. Ni mbabu.Ila kazeeka Sana,checki usoni
Ni kweli wachina hawana huo utamaduni lakini wasipofanya hivyo watapata tabu sana kwani nchi nyingi zitawashitaki na kudai fidia kutokana na hili janga ambalo linasemekana limeanzia kwao na hawajatoa ushirikiano na mapema.Wachina hawana utamaduni huo! wao ni unyonyaji, ubaguzi na kupora mali za Africa intellectual property rights etc...
NA AFADHALI IWE HIVYONi kweli wachina hawana huo utamaduni lakini wasipofanya hivyo watapata tabu sana kwani nchi nyingi zitawashitaki na kudai fidia kutokana na hili janga ambalo linasemekana limeanzia kwao na hawajatoa ushirikiano na mapema.
Sisi za nini mkuu tuna safari ndefu Sana pengine Sisi tiari ni chui wa kufugwa hatuna madhara!Yepi ya kupandikiza cheap za 666?
Wachina watachukua nafasi ya US katika funding biashara imekwisha
Na November hawei kurudi maana amekuwa kituko mno in all of his politics!
Weka ukweli sasa!Usidanganye watu aisee
Afya ni Alex Azar na ndio Incharge saivi wa ile taskforce ya trump ya Corona ana act kama chairman ila ana report kwa VP mike pence, Ben carson professionally ni Medical ila yeye now ni Waziri wa Housing and urban development.Hivi Waziri wa Afya na ......... wa huko USA ni Dr. Ben Carson?
Trump, The one term president and will go down as the worst president ever. Check approval ratting zake ndio utajua Mimi nasema nini.Trump is there to stay.
Wapiga ramli mtapiga sana ila mshikaji yuko pale hadi 2024.
Kimsingi Demokrasia ya Marekani kwa separation of powers Senate ndio yenye maamuzi ya mwisho.Kuna mdau mmoja hapa tulibishana akasema trump hana ubavu mpaka senete nikamwambia haya subir uone nahis kaona matokeo
Achana na hizo ramli.Trump, The one term president and will go down as the worst president ever.
Check approval ratting zake ndio utajua Mimi nasema nini.
Muhindi anazalisha tuu but anaetoa hela ya hizo dawa kuanzia uzalishaji wake mpaka kugawa ni Marekani.Taifa linaloongoza kutoa msaada wa ARV na vifaa vya maabara ni India, inayotoa asilimia 65% ya dawa zote zinazoonekana Tanzania.
Mkuu wala sikatai katika hilo, lakini namaanisha hata India ni moja ya taifa linalojitoa kwa ukubwa katika haya mapambano. India kupitia Global Fund ambayo inasambaza dawa hizo kwa baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania, ndiyo yenye kuongoza kutoa kwa Tanzania. IndiaMuhindi anazalisha tuu but anaetoa hela ya hizo dawa kuanzia uzalishaji wake mpaka kugawa ni Marekani.
Unajua Global Fund inamilikiwa na Nchi gani?Mkuu wala sikatai katika hilo, lakini namaanisha hata India ni moja ya taifa linalojitoa kwa ukubwa katika haya mapambano. India kupitia Global Fund ambayo inasambaza dawa hizo kwa baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania, ndiyo yenye kuongoza kutoa kwa Tanzania. India