isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
You spelt wrong! Global Fund inamilikiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa (UN) ikiwa imeasisiwa na mataifa ya G8 huku makao yake makuu ni jijini Geneva, Schweiz.Unajua Global Fund inamilikiwa na Nchi gani?
Nilikuwa na maana mfadhili Mkuu yaani anaechangia hela nyingi ni Nchi gani.You spelt wrong! Global Fund inamilikiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa (UN) ikiwa imeasisiwa na mataifa ya G8 huku makao yake makuu ni jijini Geneva, Schweiz.
Kwaheri USA mmeitesa sana dunia
Andorra, Australia, Austria, Azerbaijan, Bill & Melinda Gates, Canada, China, European Union, France, Germany, Italy, India, Japan, Netherlands, Sweden, South Africa, United Kingdom na United States.Nilikuwa na maana mfadhili Mkuu yaani anaechangia hela nyingi ni Nchi gani.
Hii sio Ramli, najua unampenda the Kid in The White house, ila ukweli ndio huo.Achana na hizo ramli.
Hata 2016 hizi ramli zilikua zinasema hivyo hivyo.
Kwanini nchi za Afrika zisichukue hiyo nafasi ?Wachina watachukua nafasi ya US katika funding biashara imekwisha
China hawana mkono wa birika ila wanataka nchi zinazopendwa kubebwa bebwa kama Tanzania zisimame zenyeweUle mchango mnene sasa bye bye.Ni pigo kwa nchi zinazoendelea. China walivyo na mkono wa birika sasa.
Exactly, ukitaka kuheshimika na majirani zako masikini ebu waruhusu wachote maji bure bomba la nje wapatie hata sukari kilo moja kwa mwezi ukichinja mbuzi wapelekee hata utumbo utaona watavyokuheshimu.Kwa watu wanaofuatilia mienendo ya siasa za dunia, maamuzi haya ya utawala wa Trump yanaiweka Marekani umwali na kuipunguzia uwezo au nguvu ya ushawishi duniani. Uamuzi huo ni msiba kwa ‘dunia ya Magharibi’ na kicheko kikubwa kwa China na Urusi. Rais Trump ataingia katika kitabu cha historia ya Marekani kama kiongozi aliyeidhoofisha Marekani na kuiondolea heshima ya kile kijulikanacho kama ‘kiongozi wa dunia huru’.
Trump is there to stay.
Wapiga ramli mtapiga sana ila mshikaji yuko pale hadi 2024.
Kati ya nchi izo ni sisi Tanzania,ndio wakati wetu wa dunia kutujua sasaAisee sasa ni wakati wa zile nchi zilizokuwa hazichangii kupeleka mpunga sasa
Unajidanganya nibsawa na mwanamke umeshapewa talaka hakafu unajidanganya eti utanikumbuka
Tutachukua nafasi hiyo subiri kwanza tuingie kwenye uchumi wa kati halafu tuwe na uchumi mkubwa ili tuweze kuwa wenye kutoa mikopo na misaada kwa nchi nyingine.Kwanini nchi za Afrika zisichukue hiyo nafasi ?
Hizi akili za utegemezi zitaisha lini ?