Marekani yakubali kupeleka Roketi za Masafa Marefu nchini Ukraine

Marekani yakubali kupeleka Roketi za Masafa Marefu nchini Ukraine

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Inaelezwa kuwa Marekani imekubali ombi la muda mrefu la #Ukraine la msaada wa silaha nzito zikiwemo roketi hizo ili kupambana na vikosi vya #Russia kutoka umbali mrefu, ambalo hapo awali lilikataliwa

Silaha hizo zitajumuisha Mfumo wa Roketi wa Kivita wa M142 (HIMARS), ambao unauwezo wa kurusha makombora mengi na kwa umbali wa hadi kilomita 70 (maili 45) - mbali zaidi kuliko mizinga ambayo Ukraine inayo kwa hivi sasa

Aidha, Rais Biden amesema msaada huo utaimarisha msimamo wa Ukraine dhidi ya Urusi na kuleta suluhu ya kidiplomasia zaidi.

.................................................................

The weapons, long requested by Ukraine, are to help it strike enemy forces more precisely from a longer distance.

Until now, the US had refused the request out of fear the weapons could be used against targets in Russia.

But on Wednesday, Mr Biden said the lethal aid would strengthen Kyiv's negotiating position against Russia and make a diplomatic solution more likely.

Writing in the New York Times, he said: "That is why I've decided that we will provide the Ukrainians with more advanced rocket systems and munitions that will enable them to more precisely strike key targets on the battlefield in Ukraine."

This is a fine balancing act for Mr Biden, as providing more powerful weapons could risk drawing the US and its Nato allies into direct conflict with Russia.

New weaponry will include the M142 High Mobility Artillery Rocket System (HIMARS), a senior White House official said - although he did not specify how many of them would be supplied.

The systems can launch multiple precision-guided missiles at targets as far as 70km (45 miles) away - far further than the artillery that Ukraine currently has. They are also believed to be more accurate than their Russian equivalents.

Chanzo: Al Jazeera
 
Tupo hapa hapo hakuna kitu!
 
Warusi wa buza vipi mmesikia hii habari ,tunataka maoni yenu
Screenshot_20220601-122443.jpg
 
USA sasa ndio ameamua kuiangamiza Ukraine kabisa, ameamua kuichochea kuni za moto.

Russia ataichapa Ukraine na ICBM "Satan II" moja tu na kuifuta katika ramani ya dunia!!! Missile moja ya "Satan II" inauwezo wa kufungwa warheads mpaka 10 kwa mpigo, na ndio Ukraine itafanyiwa majaribio na Russia huko tunapokwenda.[emoji28][emoji28][emoji28]
 
USA sasa ndio ameamua kuiangamiza Ukraine kabisa, ameamua kuichochea kuni za moto.

Russia ataichapa Ukraine na ICBM "Satan II"moja tu na kuifuta katika ramani ya dunia!!! Missile moja ya "Satan II" inauwezo wa kufungwa warheads mpaka 10 kwa mpigo, na ndio Ukraine itafanyiwa majaribio na Russia huko tunapokwenda.[emoji28][emoji28][emoji28]
Itapigwa moja tu na UKRAIN itasalim amri na vita kuisha.
 
Ni jana tu Ukraine kupitia mshauri mkuu wa Zelensky iliitishia Marekani kuwa "ITAIBWATUKIA" marekani kwa bwatukio la mfano!! Tishio hilo lilikuja kwa sababu marekani ilikataa ombi la ukraine la kupewa makombora ya masafa marefu! Baada ya tishio hilo, leo marekani imetangaza kuwa itaipatia ukraine makombora ya masafa marefu yenye uwezo wa kufikia kilomita 80.

Marekani imesema eti ukraine imeihakikishia kuwa haitayatumia kuishambulia urusi ndani ya mipaka ya urusi!! Kwa nini marekani imeogopa bwatukio la marekani?

Kwa mawazo yangu hii ni blackmail!! Zelensky amefanikiwa kuiblackmail marekani!. Iko hivi: Marekani imekuwa ikifanya utafiti wa silaha za kibaiologia (biological weapons) nchini ukraine kwa siri na silaha hizi kufanyiwa majaribio kwa watu kinyume kabisa na maadili ikizingatiwa kuwa silaha hizo zilishapigwa marufuku na umoja wa mataifa! Kwa hiyo Marekani imeona kuwa itakuwa ni aibu na fedheha sana kama ukraine ikatoa ushahidi wa unyama huo wa marekani hadharani.

Marekani haimwamini kabisa Zelensky kwa sasa kama anaweza kutunza siri maana ameahidi kubwatuka kama akikataliwa matakwa yake. Yawezekana kuna uovu mwingine wa marekani ambao ukraine inaweza kuutolea ushahidi! Hofu hiyo nadhani ndiyo imeilazimisha marekani kubadili msimamo ndani ya masaa 24 na kuamua kupeleka silaha hizo ukraine pamoja.

Ila kwa kufanya hivyo Zelensky na watu wote wanaojua siri hizo chafu za marekani bila shaka wataingizwa kwenye orodha ya FBI na CIA ya "kupotezwa". Zelensky amejichimbia shimo!! Marekani haitajisikia salama hadi iwapoteze.

Mdogo mdogo dunia inaweza kujikuta kwenye vita kuu ya tatu, maana urusi imesema kupeleka silaha hizo ukraine haikubaliki!! Ikitokea ukraine ikapiga ndani ya Urusi kilomita 80 hali itakuwa mbaya sana!
 
Kwahiyo russia akishambuliwa mnaona ndo vita ya dunia inakaribia? Mnafikiri sawasawa ninyi? Yeye anavyoshambulia ni sawa ila akishambuliwa yeye kwa silaha hizo zinazopelekwa ukraine mnaona ndo atasababisha vita ya dunia?
Ndio hivyo,mkubwa akishambuliwa ni tatizo,jiulize kwanini US amegoma kumpa silaha Ukraine zinazoweza shambulia Russia!
 
Back
Top Bottom