Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,611
- 2,881
hyo machuma siku itakutana na kalibr utajua kulikua hamna kitu hapo.Mshaanza kulialiaView attachment 2247589
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hyo machuma siku itakutana na kalibr utajua kulikua hamna kitu hapo.Mshaanza kulialiaView attachment 2247589
Kama hii taarifa ni ya kweli, unahisi we ndio utakuwa umefikiria vizuri kuliko Marekani?Ma
Marekani imefanya kosa kubwa sana na nafikiri sasahivi anajijutia kwa kuto kufikiria vizuri kabla ya kutenda. Marekani atabeba lawama ya matokeo ya hii vita.
Mpaka wewe umejua sasa kuna siri? Mmatumbi kujua siri za 🇺🇸Ni jana tu Ukraine kupitia mshauri mkuu wa Zelensky iliitishia Marekani kuwa "ITAIBWATUKIA" marekani kwa bwatukio la mfano!! Tishio hilo lilikuja kwa sababu marekani ilikataa ombi la ukraine la kupewa makombora ya masafa marefu! Baada ya tishio hilo, leo marekani imetangaza kuwa itaipatia ukraine makombora ya masafa marefu yenye uwezo wa kufikia kilomita 80.
Marekani imesema eti ukraine imeihakikishia kuwa haitayatumia kuishambulia urusi ndani ya mipaka ya urusi!! Kwa nini marekani imeogopa bwatukio la marekani?
Kwa mawazo yangu hii ni blackmail!! Zelensky amefanikiwa kuiblackmail marekani!. Iko hivi: Marekani imekuwa ikifanya utafiti wa silaha za kibaiologia (biological weapons) nchini ukraine kwa siri na silaha hizi kufanyiwa majaribio kwa watu kinyume kabisa na maadili ikizingatiwa kuwa silaha hizo zilishapigwa marufuku na umoja wa mataifa! Kwa hiyo Marekani imeona kuwa itakuwa ni aibu na fedheha sana kama ukraine ikatoa ushahidi wa unyama huo wa marekani hadharani.
Marekani haimwamini kabisa Zelensky kwa sasa kama anaweza kutunza siri maana ameahidi kubwatuka kama akikataliwa matakwa yake. Yawezekana kuna uovu mwingine wa marekani ambao ukraine inaweza kuutolea ushahidi! Hofu hiyo nadhani ndiyo imeilazimisha marekani kubadili msimamo ndani ya masaa 24 na kuamua kupeleka silaha hizo ukraine pamoja.
Ila kwa kufanya hivyo Zelensky na watu wote wanaojua siri hizo chafu za marekani bila shaka wataingizwa kwenye orodha ya FBI na CIA ya "kupotezwa". Zelensky amejichimbia shimo!! Marekani haitajisikia salama hadi iwapoteze.
Mdogo mdogo dunia inaweza kujikuta kwenye vita kuu ya tatu, maana urusi imesema kupeleka silaha hizo ukraine haikubaliki!! Ikitokea ukraine ikapiga ndani ya Urusi kilomita 80 hali itakuwa mbaya sana!
Wewe mgogo akulaumu nani bhana?Tupo hapa Wala hakuna kitu apo Ukraine inaenda kusambaratishwa hatutaki kulaumiwa
This is a fine balancing act for Mr Biden
Walioadvance hawajali kiitwa Mr maisha yanakwenda huku tukitishiana kwanini huniiti mheBut on Wednesday, Mr Biden said the lethal aid would strengthen Kyiv's negotiating position against Russia and make a diplomatic solution more likely.
Kwani Biden anavyosema anapeleka nanyi mnamwamini kabisa?Nanyi Biden alivyosema kwamba hatapeleka mliamini kabisaaa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwamba wewe Mrussi wa kwa mtogole jirani na bi Nyau ile barabara ya tumbo mkabala na kituo cha Popobawa una fahamu majaribio ya silaha za kibailojia yanayo endelea pale ukraine lakini KGB/FSB wao hawafahamu kinacho endelea kule si Ndio unacho taka kutu aminisha hapaNi jana tu Ukraine kupitia mshauri mkuu wa Zelensky iliitishia Marekani kuwa "ITAIBWATUKIA" marekani kwa bwatukio la mfano!! Tishio hilo lilikuja kwa sababu marekani ilikataa ombi la ukraine la kupewa makombora ya masafa marefu! Baada ya tishio hilo, leo marekani imetangaza kuwa itaipatia ukraine makombora ya masafa marefu yenye uwezo wa kufikia kilomita 80.
Marekani imesema eti ukraine imeihakikishia kuwa haitayatumia kuishambulia urusi ndani ya mipaka ya urusi!! Kwa nini marekani imeogopa bwatukio la marekani?
Kwa mawazo yangu hii ni blackmail!! Zelensky amefanikiwa kuiblackmail marekani!. Iko hivi: Marekani imekuwa ikifanya utafiti wa silaha za kibaiologia (biological weapons) nchini ukraine kwa siri na silaha hizi kufanyiwa majaribio kwa watu kinyume kabisa na maadili ikizingatiwa kuwa silaha hizo zilishapigwa marufuku na umoja wa mataifa! Kwa hiyo Marekani imeona kuwa itakuwa ni aibu na fedheha sana kama ukraine ikatoa ushahidi wa unyama huo wa marekani hadharani.
Marekani haimwamini kabisa Zelensky kwa sasa kama anaweza kutunza siri maana ameahidi kubwatuka kama akikataliwa matakwa yake. Yawezekana kuna uovu mwingine wa marekani ambao ukraine inaweza kuutolea ushahidi! Hofu hiyo nadhani ndiyo imeilazimisha marekani kubadili msimamo ndani ya masaa 24 na kuamua kupeleka silaha hizo ukraine pamoja.
Ila kwa kufanya hivyo Zelensky na watu wote wanaojua siri hizo chafu za marekani bila shaka wataingizwa kwenye orodha ya FBI na CIA ya "kupotezwa". Zelensky amejichimbia shimo!! Marekani haitajisikia salama hadi iwapoteze.
Mdogo mdogo dunia inaweza kujikuta kwenye vita kuu ya tatu, maana urusi imesema kupeleka silaha hizo ukraine haikubaliki!! Ikitokea ukraine ikapiga ndani ya Urusi kilomita 80 hali itakuwa mbaya sana!
So kirahisi hivyo mkuu.Kumbe russia haipo sawa na hii dunia yaani kelele zoote hizi kumbe ni km70 tu? Halafu hiyo mifumo ya kufyatulia ataiweka wapi? Urusi ndiyo nchi pekee ilivyo vyema kwa silaha za kujihami nikimaanisha likirushwa bomu moja tu huo mtambo utafumuliwa na Iskander na hichi kitakachorushwa kitafumuliwa marinda kikiwa hewani
Kwani ye ndo amevamia?[emoji2]Ma
Marekani imefanya kosa kubwa sana na nafikiri sasahivi anajijutia kwa kuto kufikiria vizuri kabla ya kutenda. Marekani atabeba lawama ya matokeo ya hii vita.
Kwamba USA hajui anachokifanya Ila we ngombe ndo unajuaKama hii taarifani kweli ,itakuwa poa Sana ,na ndo kitu nilichokuwa nakitaka kitokee. Ukraine kupewa huo mfumo ,utamfanya Russia aachie vitu vizito zaidi ICBN satun 2,na hilo dude likitua linaacha ukiwa mkuu kwenye ardhi na juu ya srdhi ,na hapo itakuwa ndo mwisho wa Vita .
Baada ya hapo tutawasubiri USA na NATO,wanajipya lipi,!? wanaingia mzigoni wenyewe mazima au wanakausha!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ni kosa kubwa USA wamelifanya kwa mihemko wa kuona anadhalilishwa na Russia, hilo kosa atakuja kulijutia baadaeKwamba USA hajui anachokifanya Ila we ngombe ndo unajua
Matokeo ni russua kufurushwa na kurudi alikotokaTusubiri matokeo sasa