Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo hapa Wala hakuna kitu apo Ukraine inaenda kusambaratishwa hatutaki kulaumiwaWarusi wa buza vipi mmesikia hii habari ,tunataka maoni yenuView attachment 2247098
🤣🤣🤣🤣🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪💪💪💪💪💪💪Itapigwa moja tu na UKRAIN itasalim amri na vita kuisha.
Hivi unajua ICBM inatumika umbali gani ili iwe effectiveUSA sasa ndio ameamua kuiangamiza Ukraine kabisa, ameamua kuichochea kuni za moto.
Russia ataichapa Ukraine na ICBM "Satan II" moja tu na kuifuta katika ramani ya dunia!!! Missile moja ya "Satan II" inauwezo wa kufungwa warheads mpaka 10 kwa mpigo, na ndio Ukraine itafanyiwa majaribio na Russia huko tunapokwenda.[emoji28][emoji28][emoji28]
Hizo ni za kupiga humohumo ndani ya ukraine za kupiga huko urusi bado kaufyataNanyi Biden alivyosema kwamba hatapeleka mliamini kabisaaa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulia kwanza uone Dunia ikishuhudia zelensky na ma pro wake wakiamgamizwa wananchi kitafuta toka Russia watakwenda kukipataNi jana tu Ukraine kupitia mshauri mkuu wa Zelensky iliitishia Marekani kuwa "ITAIBWATUKIA" marekani kwa bwatukio la mfano!! Tishio hilo lilikuja kwa sababu marekani ilikataa ombi la ukraine la kupewa makombora ya masafa marefu! Baada ya tishio hilo, leo marekani imetangaza kuwa itaipatia ukraine makombora ya masafa marefu yenye uwezo wa kufikia kilomita 80.
Marekani imesema eti ukraine imeihakikishia kuwa haitayatumia kuishambulia urusi ndani ya mipaka ya urusi!! Kwa nini marekani imeogopa bwatukio la marekani?
Kwa mawazo yangu hii ni blackmail!! Zelensky amefanikiwa kuiblackmail marekani!. Iko hivi: Marekani imekuwa ikifanya utafiti wa silaha za kibaiologia (biological weapons) nchini ukraine kwa siri na silaha hizi kufanyiwa majaribio kwa watu kinyume kabisa na maadili ikizingatiwa kuwa silaha hizo zilishapigwa marufuku na umoja wa mataifa! Kwa hiyo Marekani imeona kuwa itakuwa ni aibu na fedheha sana kama ukraine ikatoa ushahidi wa unyama huo wa marekani hadharani.
Marekani haimwamini kabisa Zelensky kwa sasa kama anaweza kutunza siri maana ameahidi kubwatuka kama akikataliwa matakwa yake. Yawezekana kuna uovu mwingine wa marekani ambao ukraine inaweza kuutolea ushahidi! Hofu hiyo nadhani ndiyo imeilazimisha marekani kubadili msimamo ndani ya masaa 24 na kuamua kupeleka silaha hizo ukraine pamoja.
Ila kwa kufanya hivyo Zelensky na watu wote wanaojua siri hizo chafu za marekani bila shaka wataingizwa kwenye orodha ya FBI na CIA ya "kupotezwa". Zelensky amejichimbia shimo!! Marekani haitajisikia salama hadi iwapoteze.
Mdogo mdogo dunia inaweza kujikuta kwenye vita kuu ya tatu, maana urusi imesema kupeleka silaha hizo ukraine haikubaliki!! Ikitokea ukraine ikapiga ndani ya Urusi kilomita 80 hali itakuwa mbaya sana!
kweli mkuu historia inajirudia, kama ilivyokua kwa Japan ikasalim amri...🤣🤣🤣🤣🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪💪💪💪💪💪💪
Mshaanza kulialiaHizi machumq tunaziteketeza kabla hazijarusha rocket hata moja.
Viva RUSSIA.
Marekani imefanya kosa kubwa sana na nafikiri sasahivi anajijutia kwa kuto kufikiria vizuri kabla ya kutenda. Marekani atabeba lawama ya matokeo ya hii vita.Inaelezwa kuwa Marekani imekubali ombi la muda mrefu la #Ukraine la msaada wa silaha nzito zikiwemo roketi hizo ili kupambana na vikosi vya #Russia kutoka umbali mrefu, ambalo hapo awali lilikataliwa
Silaha hizo zitajumuisha Mfumo wa Roketi wa Kivita wa M142 (HIMARS), ambao unauwezo wa kurusha makombora mengi na kwa umbali wa hadi kilomita 70 (maili 45) - mbali zaidi kuliko mizinga ambayo Ukraine inayo kwa hivi sasa
Aidha, Rais Biden amesema msaada huo utaimarisha msimamo wa Ukraine dhidi ya Urusi na kuleta suluhu ya kidiplomasia zaidi.
.................................................................
The weapons, long requested by Ukraine, are to help it strike enemy forces more precisely from a longer distance.
Until now, the US had refused the request out of fear the weapons could be used against targets in Russia.
But on Wednesday, Mr Biden said the lethal aid would strengthen Kyiv's negotiating position against Russia and make a diplomatic solution more likely.
Writing in the New York Times, he said: "That is why I've decided that we will provide the Ukrainians with more advanced rocket systems and munitions that will enable them to more precisely strike key targets on the battlefield in Ukraine."
This is a fine balancing act for Mr Biden, as providing more powerful weapons could risk drawing the US and its Nato allies into direct conflict with Russia.
New weaponry will include the M142 High Mobility Artillery Rocket System (HIMARS), a senior White House official said - although he did not specify how many of them would be supplied.
The systems can launch multiple precision-guided missiles at targets as far as 70km (45 miles) away - far further than the artillery that Ukraine currently has. They are also believed to be more accurate than their Russian equivalents.
Chanzo: Al Jazeera
Silaha zilishafika Ukraine kitambo,yale yalikuwa ni maigizo.Nanyi Biden alivyosema kwamba hatapeleka mliamini kabisaaa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa unaenda kuwaka moto mamaee[emoji1787]Ni jana tu Ukraine kupitia mshauri mkuu wa Zelensky iliitishia Marekani kuwa "ITAIBWATUKIA" marekani kwa bwatukio la mfano!! Tishio hilo lilikuja kwa sababu marekani ilikataa ombi la ukraine la kupewa makombora ya masafa marefu! Baada ya tishio hilo, leo marekani imetangaza kuwa itaipatia ukraine makombora ya masafa marefu yenye uwezo wa kufikia kilomita 80.
Marekani imesema eti ukraine imeihakikishia kuwa haitayatumia kuishambulia urusi ndani ya mipaka ya urusi!! Kwa nini marekani imeogopa bwatukio la marekani?
Kwa mawazo yangu hii ni blackmail!! Zelensky amefanikiwa kuiblackmail marekani!. Iko hivi: Marekani imekuwa ikifanya utafiti wa silaha za kibaiologia (biological weapons) nchini ukraine kwa siri na silaha hizi kufanyiwa majaribio kwa watu kinyume kabisa na maadili ikizingatiwa kuwa silaha hizo zilishapigwa marufuku na umoja wa mataifa! Kwa hiyo Marekani imeona kuwa itakuwa ni aibu na fedheha sana kama ukraine ikatoa ushahidi wa unyama huo wa marekani hadharani.
Marekani haimwamini kabisa Zelensky kwa sasa kama anaweza kutunza siri maana ameahidi kubwatuka kama akikataliwa matakwa yake. Yawezekana kuna uovu mwingine wa marekani ambao ukraine inaweza kuutolea ushahidi! Hofu hiyo nadhani ndiyo imeilazimisha marekani kubadili msimamo ndani ya masaa 24 na kuamua kupeleka silaha hizo ukraine pamoja.
Ila kwa kufanya hivyo Zelensky na watu wote wanaojua siri hizo chafu za marekani bila shaka wataingizwa kwenye orodha ya FBI na CIA ya "kupotezwa". Zelensky amejichimbia shimo!! Marekani haitajisikia salama hadi iwapoteze.
Mdogo mdogo dunia inaweza kujikuta kwenye vita kuu ya tatu, maana urusi imesema kupeleka silaha hizo ukraine haikubaliki!! Ikitokea ukraine ikapiga ndani ya Urusi kilomita 80 hali itakuwa mbaya sana!
Ataidhibiti wap sasa unakokujua weweHizo silaha zitaishia hapo hapo Facebook, Urusi atadhidhibiti na USA itakosa soko.
👆The systems can launch multiple precision-guided missiles at targets as far as 70km (45 miles) away - far further than the artillery that Ukraine currently has. They are also believed to be more accurate than their Russian equivalents.
Atabeba putini ndiye aliyevamia nchi huruMa
Marekani imefanya kosa kubwa sana na nafikiri sasahivi anajijutia kwa kuto kufikiria vizuri kabla ya kutenda. Marekani atabeba lawama ya matokeo ya hii vita.
hakuna moto mimi nitakukumbusha tuSasa unaenda kuwaka moto mamaee[emoji1787]
weka akiba ya maneno👆
Warusi watakutana na upinzani wasioutarajia huko mashariki.
Nyamizi Jackal
lee van cliff Bwana Utam
T14 Armata
STRUGGLE MAN