Marekani yakubali kupeleka Roketi za Masafa Marefu nchini Ukraine

Hivi unajua ICBM inatumika umbali gani ili iwe effective

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Huku tunaondolewa tozo ya mafuta,huyu naye anongeza silaha,huu mwaka kweli wa kwetu...
 
Tulia kwanza uone Dunia ikishuhudia zelensky na ma pro wake wakiamgamizwa wananchi kitafuta toka Russia watakwenda kukipata
 
US atoe na ndege zikiwa tayari na mzigo wa nuclear kwa Ukraine ili kupunguza kutishana tishana. Hii itaisaidia Ukraine kuoneshana makali vizuri na Urusi.
 
Ma Marekani imefanya kosa kubwa sana na nafikiri sasahivi anajijutia kwa kuto kufikiria vizuri kabla ya kutenda. Marekani atabeba lawama ya matokeo ya hii vita.
 
Sasa unaenda kuwaka moto mamaee[emoji1787]
 
hakuna silaha iliyotolewa hapo rais alikataa halafu zinatoka wapi wakati jibu linajulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…