Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu.
Je, ataweza au ndo mgogoro unaanza upya? Je tangu lini Trump akawaonea huruma wanadamu wenzake badala ya kuwaibia na kuwanyonya?
Eti anataka awahamishie kwenye nchi nyingine ili apajenge papendeze. Je wapalestina ni mazwazwa wakubaliane na ujinga wa wazi wazi kama huu?
Je hawa wendawazimu wawili Netanyahu na Trump wataweza kukamilisha jinai hii ndani ya miaka minne ambayo kichaa Trump anayo ofisi au kabla kwa sababu ugonjwa wake wa akili unaweza kufumka wakati wowote?