Jamaa anapenda tu kuongea bila kufikiri.
Baina ya ubongo wake na mdomo wake, hakuna chujio.
Hana akili kivile, ila huwa anaji overestimate sana.
Yeye hapo anaona kaongea jambo la maana sana.
Ukweli ni kwamba alichoongea ni utopolo.
Mara aitamani Greenland. Mara Canada.
Na sasa ni Gaza.
Trump ni mropokaji. Yawezekana kabisa alimaanisha tofauti na alichosema.
Ila kwa vile si mzungumzaji mzuri, maneno yakatoka jinsi yalivyotoka.
Marekani kuichukua Gaza hakutaleta amani na utulivu huko Mashariki ya Kati.
He has said some dumb things before.
But this one takes the cake, in my opinion.