Marekani yakubaliana Israel kuitwaa Gaza na kuwatimua Wapalestina. Je wataweza au ni tamaa ya kusiklizwa na ndoto za Trump?

Vipi ushaelewa au nawe ni wale wale wanaoshabikia mauaji kwa misingi ya itikadi. Sipendi waarabu kwani ni wabaguzi na dini yao. Lakini walichofanyiwa wapalestina si haki. Wanaweza kuwamaliza wakatuijia waafrika ambao wanatuchukia pamoja kuliko hata wanyama wetu.
Unajielewa brother.
 
Kuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu.

Je ataweza au ndo mgogoro unaanza upya? Je tangu lini Trump akawaonea huruma wanadamu wenzake badala ya kuwaibia na kuwanyonya? Eti anataka awahamishie kwenye nchi nyingine ili apajenge papendeze. Je wapalestina ni mazwazwa wakubaliane na ujinga wa wazi wazi kama huu? Je hawa wendawazimu wawili Netanyahu na Trump wataweza kukamilisha jinai hii ndani ya miaka minne ambayo kichaa Trump anayo ofisi au kabla kwa sababu ugonjwa wake wa akili unaweza kufumka wakati wowote?
Kama anania ya kujenga ni jambo jema ila wasimamizi wawe Wanaghaza wenyewe huyo Trump achapishe hizo dola zake awape Wapalestina watajisimamia
 
Kaka uliona zile video lakini???
Video za Oct 7.
Ingawa Trump ni chizi ila kwa zile video.
Never Again is Now
Why are you talking as if israel apartheid started on October 7, if you take things on that context even the terrorists attacks that ANC was doing to white South African was horrific but most of us chose to call freedom fighting. Why have such a selective opinion over things. Hamas are terrorists while ANC were freedom fighters
 
Vipi ushaelewa au nawe ni wale wale wanaoshabikia mauaji kwa misingi ya itikadi. Sipendi waarabu kwani ni wabaguzi na dini yao. Lakini walichofanyiwa wapalestina si haki. Wanaweza kuwamaliza wakatuijia waafrika ambao wanatuchukia pamoja kuliko hata wanyama wetu.
Mabeberu hilo ndio lengo Lao, lakini hawa wafuasi wa Mfalme Zumaridi wanaona kama hii ni.vita baina ya wayahudi na waislamu hawajui kuna siri kubwa
 
Kuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu.

Je ataweza au ndo mgogoro unaanza upya? Je tangu lini Trump akawaonea huruma wanadamu wenzake badala ya kuwaibia na kuwanyonya? Eti anataka awahamishie kwenye nchi nyingine ili apajenge papendeze. Je wapalestina ni mazwazwa wakubaliane na ujinga wa wazi wazi kama huu? Je hawa wendawazimu wawili Netanyahu na Trump wataweza kukamilisha jinai hii ndani ya miaka minne ambayo kichaa Trump anayo ofisi au kabla kwa sababu ugonjwa wake wa akili unaweza kufumka wakati wowote?
Mwanaharamu hatarithi na mwana wa haki! Kizazi cha Yakobo kibarikiwe milele.
 
Kuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu.

Je ataweza au ndo mgogoro unaanza upya? Je tangu lini Trump akawaonea huruma wanadamu wenzake badala ya kuwaibia na kuwanyonya? Eti anataka awahamishie kwenye nchi nyingine ili apajenge papendeze. Je wapalestina ni mazwazwa wakubaliane na ujinga wa wazi wazi kama huu? Je hawa wendawazimu wawili Netanyahu na Trump wataweza kukamilisha jinai hii ndani ya miaka minne ambayo kichaa Trump anayo ofisi au kabla kwa sababu ugonjwa wake wa akili unaweza kufumka wakati wowote?
Ingekuwa tanzania wasingetumia kazi kubwa wala nini,wangeongea na viongozi tu,kuwalambisha mchuzi.

Then mnaambiwa dar wote muhame.
 
Jamaa anapenda tu kuongea bila kufikiri.

Baina ya ubongo wake na mdomo wake, hakuna chujio.

Hana akili kivile, ila huwa anaji overestimate sana.

Yeye hapo anaona kaongea jambo la maana sana.

Ukweli ni kwamba alichoongea ni utopolo.

Mara aitamani Greenland. Mara Canada.

Na sasa ni Gaza.

Trump ni mropokaji. Yawezekana kabisa alimaanisha tofauti na alichosema.

Ila kwa vile si mzungumzaji mzuri, maneno yakatoka jinsi yalivyotoka.

Marekani kuichukua Gaza hakutaleta amani na utulivu huko Mashariki ya Kati.

He has said some dumb things before.

But this one takes the cake, in my opinion.
Afadhali umekuwa honestly na hili, maana ulikuwa ni mmoja ya waliotaka Trump aongoze US.
 
Wewe ama ni juha/ mpumbavu au unasumbuliwa na tatizo la usahaulifu. Yawezekana unasumbuliwa na vyote viwili.

Leo si mara ya kwanza mimi kumkosoa Trump.

Nimeshamkosoa mara nyingi tu hapa. Unabisha?

Nakushangaa eti unaona leo nimekuwa mkweli ilhali tokea 2016 namkosoa pale inapostahili.

Ila, watu majuha na wapumbavu ndivyo walivyo. Hawana kabisa uwezo wa kutenda haki.

Pia, hata kumbukumbu zao ni duni sana, zikiakisi uduni wa akili zao.

Siku zote hizo nilipomkosoa Trump wewe ulikuwa wapi hadi ushangae leo?

Stupid is as stupid does.
 
Wewe ama ni juha/ mpumbavu au unasumbuliwa na tatizo la usahaulifu. Yawezekana unasumbuliwa na vyote viwili.

Leo si mara ya kwanza mimi kumkosoa Trump.

Nimeshamkosoa mara nyingi tu hapa. Unabisha?

Nakushangaa eti unaona leo nimekuwa mkweli ilhali tokea 2016 namkosoa pale inapostahili.

Ila, watu majuha na wapumbavu ndivyo walivyo. Hawana kabisa uwezo wa kutenda haki.

Pia, hata kumbukumbu zao ni duni sana, zikiasili uduni wa akili zao.

Kumbe we ni ms3nge leo ndipo nimetambua...
Kulikuwa kuna ulazima wa kunitusi hivyo...?
Katika hiko nilicho andika hapo kuna sehemu nimekutusi?
Mataqo yako..
 
Wewe ama ni juha/ mpumbavu au unasumbuliwa na tatizo la usahaulifu. Yawezekana unasumbuliwa na vyote viwili.

Leo si mara ya kwanza mimi kumkosoa Trump.

Nimeshamkosoa mara nyingi tu hapa. Unabisha?

Nakushangaa eti unaona leo nimekuwa mkweli ilhali tokea 2016 namkosoa pale inapostahili.

Ila, watu majuha na wapumbavu ndivyo walivyo. Hawana kabisa uwezo wa kutenda haki.

Pia, hata kumbukumbu zao ni duni sana, zikiasili uduni wa akili zao.

Siku zote hizo nilipomkosoa Trump wewe ulikuwa wapi hadi ushangae leo?

Stupid is as stupid does.
🖕🖕🖕🖕
 
Ingekuwa tanzania wasingetumia kazi kubwa wala nini,wangeongea na viongozi tu,kuwalambisha mchuzi.

Then mnaambiwa dar wote muhame.
Ni kweli. Sisi tuna wachuuzi wa miili na roho za watu wanaoturejesha kwenye utumwa wa kujitakia kwa sababu ya upofu na uchoyo binafsi. Ni balaa mwanangu
 
1000021790.jpg
1000021791.jpg
1000021792.jpg
 
Back
Top Bottom