Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Vipi ushaelewa au nawe ni wale wale wanaoshabikia mauaji kwa misingi ya itikadi. Sipendi waarabu kwani ni wabaguzi na dini yao. Lakini walichofanyiwa wapalestina si haki. Wanaweza kuwamaliza wakatuijia waafrika ambao wanatuchukia pamoja kuliko hata wanyama wetu.Mtaelewa tu
Kuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu.
Je ataweza au ndo mgogoro unaanza upya? Je tangu lini Trump akawaonea huruma wanadamu wenzake badala ya kuwaibia na kuwanyonya? Eti anataka awahamishie kwenye nchi nyingine ili apajenge papendeze. Je wapalestina ni mazwazwa wakubaliane na ujinga wa wazi wazi kama huu?
Tuliwaambia humu Trump ataimarisha agano kati ya Israel na US watu wakabisha sanaMtaelewa tu
Kobaaz wengi uwezo wa kufikiri duni hivyo wasamehe tuNiliwaambia baadhi ya Wanamgambo wa hapa JF huyo Trump mnayemshangilia ndiye aliyeitambua Jerusalemu kama mji mkuu wa Israel. Oh unajua nini wewe kuhusu Mashariki. Mnaona sasa.
AmenGaza ni eneo la Israel.
GOD BLESS ISRAEL
Ukiangalia zile video za 7 October, huruma kwa Palestine inapotea.Kuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu.
Je ataweza au ndo mgogoro unaanza upya? Je tangu lini Trump akawaonea huruma wanadamu wenzake badala ya kuwaibia na kuwanyonya? Eti anataka awahamishie kwenye nchi nyingine ili apajenge papendeze. Je wapalestina ni mazwazwa wakubaliane na ujinga wa wazi wazi kama huu?
Kumbe kuua wapalestina karibu nusu laki siyo horrific au mnakariri maneno ya Netanyahu kwa vile mnampenda tu au mmekubali kugeuzwa mazwazwa? Kumbuka. Ni Wamarekani na waisrael hawa. hawa waliosadia serikali ya makaburu namna ya kuwabugua na kuwatesa waswahili wenzetu ambao nao wamegeuka mazayuni weusi?Ukiangalia zile video za 7 October, huruma kwa Palestine inapotea.
Zile ni Horrific moment ambazo Hamas walifanya.
So, Both team to score.
Ongeza na wale waarabu wa Dearborn Michigan waliokuwa wakimshangilia, leo ndio kaanza kuwasaka wale walioandamana kuunga mkono Palestinian's, hiyo ya Trump kutambua Jerusalem kama capital of Israel naona hawakuelewa maana yake, fukkkcccn useless peopleNiliwaambia baadhi ya Wanamgambo wa hapa JF huyo Trump mnayemshangilia ndiye aliyeitambua Jerusalemu kama mji mkuu wa Israel. Oh unajua nini wewe kuhusu Mashariki. Mnaona sasa.
Kulikuwa na kobaaz humu wakibweeeka kuwa Trump katu hatokuwa pamoja na Israel tatizo kobaaaz kumbukumbu zao zinapoteaga haraka sanaOngeza na wale waarabu wa Dearborn Michigan waliokuwa wakimshangilia, leo ndio kaanza kuwasaka wale walioandamana kuunga mkono Palestinian's, hiyo ya Trump kutambua Jerusalem kama capital of Israel naona hawakuelewa maana yake, fukkkcccn useless people
Kaka uliona zile video lakini???Kumbe kuua wapalestina karibu nusu laki siyo horrific au mnakariri maneno ya Netanyahu kwa vile mnampenda tu au mmekubali kugeuzwa mazwazwa? Kumbuka. Ni Wamarekani na waisrael hawa. hawa waliosadia serikali ya makaburu namna ya kuwabugua na kuwatesa waswahili wenzetu ambao nao wamegeuka mazayuni weusi?
Vamia taifa lolote afu uue watu wake Kama 1000 na ushehe uone kitakachofata. Uwe mpalestina au mmang'ati!!!Kumbe kuua wapalestina karibu nusu laki siyo horrific au mnakariri maneno ya Netanyahu kwa vile mnampenda tu au mmekubali kugeuzwa mazwazwa? Kumbuka. Ni Wamarekani na waisrael hawa. hawa waliosadia serikali ya makaburu namna ya kuwabugua na kuwatesa waswahili wenzetu ambao nao wamegeuka mazayuni weusi?
Mwisho wa yote si netanyahu wala Trump atakuwepo miaka 20;ijayo. Huo ndo ukuu wa Mungu wote tunakufa hata utese binadamu wenzio kwa kiwango gani hutaishi milele uone ubaya wako.Wakiamua kufanya hivyo wataweza, isipokuwa watapaswa wavumilie Sana juu ya kelele nyingi Sana na lawana watakazotupiwa kutoka katika pande zote kabisa za dunia hii.
Itawalazimu kutia pamba masikioni na kuvaa miwani ya mbao!
Yote ubatili mtupu, nao watakufa tuu.Mtu anaitaka canada atashindwa kuitaka ghaza kupitia kwa Neta?
Why is Oct 7 more prominent than the entire impasse-cum-quagmire? Why if, indeed you are neither Netanyahu nor Trump or any lunatic, why can't you see over 50,000 palestinians butched by these two criminals and another known as Joe Biden? Are mentally sick whoever you are my son or daughter or transgender?Kaka uliona zile video lakini???
Video za Oct 7.
Ingawa Trump ni chizi ila kwa zile video.
Never Again is Now