Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Kwa hiyo ulitaka proportionality ya 1000 kama mlivyowachinja au😂, kobazi mna akili za mapangoni sanaWhy is Oct 7 more prominent than the entire impasse-cum-quagmire? Why if, indeed you are neither Netanyahu nor Trump or any lunatic, why can't you see over 50,000 palestinians butched by these two criminals and another known as Joe Biden? Are mentally sick whoever you are my son or daughter or transgender?
Jamaa anapenda tu kuongea bila kufikiri.Mtu anaitaka canada atashindwa kuitaka ghaza kupitia kwa Neta?
Chanzo cha hao kuuliwa ilikuwa ni nini?Kumbe kuua wapalestina karibu nusu laki siyo horrific au mnakariri maneno ya Netanyahu kwa vile mnampenda tu au mmekubali kugeuzwa mazwazwa? Kumbuka. Ni Wamarekani na waisrael hawa. hawa waliosadia serikali ya makaburu namna ya kuwabugua na kuwatesa waswahili wenzetu ambao nao wamegeuka mazayuni weusi?
Na chanzo cha chuki hadi kuvamiana na kutekana ni nini?Chanzo cha hao kuuliwa ilikuwa ni nini?
Wasingefanya yale mauaji hivyo vifo visingetokea.
GOD BLESS ISRAEL
Mwanangu, tumia akili. Hapa hatuangalii imani ya mtu bali utu wake. Mie sijali kama umekeketwa kichwani au chini. Bado nakujali kama binadamu uwe umetahiriwa au uwe na govi kichwani na chini mwanangu.Kwa hiyo ulitaka proportionality ya 1000 kama mlivyowachinja au😂, kobazi mna akili za mapangoni sana
Hakuna mtu anapenda watu wateseke, lakini mlivyowaua na Gaza ikalipuka kwa sherehe mlitegemea nini? Mliwaua bila huruma na bila kuangalia mtoto au mzee, najukumbusha tuuMwanangu, tumia akili. Hapa hatuangalii imani ya mtu bali utu wake. Mie sijali kama umekeketwa kichwani au chini. Bado nakujali kama binadamu uwe umetahiriwa au uwe na govi kichwani na chini mwanangu.
Kumbe sikujua kuwa nawe unarudia upumbavu wa magaidi kwa kushangilia vifo vya watoto wasio na hatia. Huwezi kulaani dhambi kwa dhambi. Mie naona wote wana makosa ingawa Israel na wakoloni kukalia ardhi ya wapalestina ndiyo chanzo. Hata hivyo kwa wasiojua historia au wanaoijua wakapufushwa na uzwazwa hapa ni kumpigia mbuzi gitaa. Sorry.Hakuna mtu anapenda watu wateseke, lakini mlivyowaua na Gaza ikalipuka kwa sherehe mlitegemea nini? Mliwaua bila huruma na bila kuangalia mtoto au mzee, najukumbusha tuu
Kabisaaa warabu Kwao Saudi ArabiaGaza ni eneo la Israel.
GOD BLESS ISRAEL
Trump ana wazimu na kama Marekani ikimuachia aendelee na uraisi basi dunia itaingia kwenye mizozo mingi na yenyewe itakufilia mbali.Kuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu.
Je ataweza au ndo mgogoro unaanza upya? Je tangu lini Trump akawaonea huruma wanadamu wenzake badala ya kuwaibia na kuwanyonya? Eti anataka awahamishie kwenye nchi nyingine ili apajenge papendeze. Je wapalestina ni mazwazwa wakubaliane na ujinga wa wazi wazi kama huu? Je hawa wendawazimu wawili Netanyahu na Trump wataweza kukamilisha jinai hii ndani ya miaka minne ambayo kichaa Trump anayo ofisi au kabla kwa sababu ugonjwa wake wa akili unaweza kufumka wakati wowote?
Sasa vitendo ndoto zako za mlokole Tramp ndio zipo ivo je wataweza kuwatoa watu wa Gaza wasiogopa kufa!!! Debe tupu uyo TrampGaza ni eneo la Israel.
GOD BLESS ISRAEL
Dunia hii inavituko .. umeshaaona wapi mtu analazimishiwa kupewa msaada .. kwani asiejenge kwanza califonia na LA iliyoungua ndo aje awaonee huruma palestinaKuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu.
Je ataweza au ndo mgogoro unaanza upya? Je tangu lini Trump akawaonea huruma wanadamu wenzake badala ya kuwaibia na kuwanyonya? Eti anataka awahamishie kwenye nchi nyingine ili apajenge papendeze. Je wapalestina ni mazwazwa wakubaliane na ujinga wa wazi wazi kama huu? Je hawa wendawazimu wawili Netanyahu na Trump wataweza kukamilisha jinai hii ndani ya miaka minne ambayo kichaa Trump anayo ofisi au kabla kwa sababu ugonjwa wake wa akili unaweza kufumka wakati wowote?
Wa kulaumiwa ni yule dogo aliyeshindwa kulenga ile risasi ikaishia kupiga sikio, but good tryJamaa anapenda tu kuongea bila kufikiri.
Baina ya ubongo wake na mdomo wake, hakuna chujio.
Hana akili kivile, ila huwa anaji overestimate sana.
Yeye hapo anaona kaongea jambo la maana sana.
Ukweli ni kwamba alichoongea ni utopolo.
Mara aitamani Greenland. Mara Canada.
Na sasa ni Gaza.
Trump ni mropokaji. Yawezekana kabisa alimaanisha tofauti na alichosema.
Ila kwa vile si mzungumzaji mzuri, maneno yakatoka jinsi yalivyotoka.
Marekani kuichukua Gaza hakutaleta amani na utulivu huko Mashariki ya Kati.
He has said some dumb things before.
But this one takes the cake, in my opinion.