Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
- Thread starter
-
- #21
Endelea kuteseka Mkuu, mie jukumu langu ni kukusukumia dawa tuππππππππ!Hawakulalamika bali wameripoti tukio. In fact drone hizo sasa hivi zimekuwa zinaangushwa kama mbayuwayu.
Ikumbukwe kwamba mwaka 2011 kuna drone moja ya Marekani ilianguka huko Irani wakaikota nzima nzima na kuanza kuikopi. Hizo ndiyo matokeo ya reverse engineering ile.
Mkuu punguza uongo iliyo kamatwa kipindi hicho ilikuwa ni ndege ya kijasusi na hizi ni ndege za mashambulizi kwa hiyo hizo ni drone mbili tofauti.Hawakulalamika bali wameripoti tukio. In fact drone hizo sasa hivi zimekuwa zinaangushwa kama mbayuwayu.
Ikumbukwe kwamba mwaka 2011 kuna drone moja ya Marekani ilianguka huko Irani wakaikota nzima nzima na kuanza kuikopi. Hizo ndiyo matokeo ya reverse engineering ile.
Basi huenda hujui maana ya drone Iwapo unasema moja na ya kijasusi na nyingine ni ya mashamabulizi. Drone ni drone tu, ukiwekea camera itafanya ujasusi, na ukiweekea silaha itafanya mashambulizi. Hizor drones za Kimarekani ndizo zinazofanya mashamabulizi na vile vile kufanya ujasuzi. Inategema na mission tu.Mkuu punguza uongo iliyo kamatwa kipindi hicho ilikuwa ni ndege ya kijasusi na hizi ni ndege za mashambulizi kwa hiyo hizo ni drone mbili tofauti.
Ndiyo ninacho kiona Sasa hivHizo drone kama hazitadhibitiwa mapema zinaweza kupeleka kiama kwa Ukraine