Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Wamarekani wafunge virago tu sasa Iraq maana jamaa lazima walipe kisasi tu
Hiyo sehemu haitatulia

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe unaongelea drones? ukitaka kujua America ni vichaa duniani lipua meli yao ya kivita,si ipo hapo Gulf kila siku,Mbona Iran hajawahi hata kuirushia kombora?They know it! au mwambie akashambulie a US city alafu uje utupe mrejesho hapa!
Ina Maana US Anapenda Ndege Zake Zitunguliwe Anapenda Wanajeshi wake Watekwe ?!

Kwan Lini Umewahi Sikia US Kashambulia City Ya IRAN ?!

[emoji2][emoji23][emoji12][emoji14][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi la marekani limetoa taarifa kwamba tarehe hiyo lilifanya "precision preventive strikes" katika targets tano ndani ya Iran na Iraq.

nadhani umekuwa overwhelmed na mauaji ya General Qasemi, sasa hata ukumbuki what happened a couple of days ago.
Ndugu acha kuchekesha watu ujasili wa kushambulia ardhi ya Iran hana.
Marekani ilishambulia ndani ya Iraq na sirya na sio Iran
 
Ukweli Mchungu Huu Japo Kuna Watu Watakupinga..
Hapa hakuna vita itakayotokea kwasababu Gen Qasem kauawa nje ya mipaka ya nchi yake. Hakuna soveregnty ya Iran iliyovunjwa, hivyo Iran hana legitimacy ya kurudisha mapigo ya moja kwa moja. So, hapo Iran atatafuta nayeye namna ya kumchoma marekani kisu cha mgongoni ambapo na marekani naye atakosa legitimacy ya kumvamia Iran.

Sent using Jamii Forums mobile app
Facts

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sovereignty?Brother huyo jamaa ni equivalent to US chairman of joint chief of Staffs,sasa wamsubirie wamuue Joint chief of Staffs wa Marekani akiwa taifa lingine uone hyo sovereignity kama inafanya kazi ama lah,Iran won't dare.
Unaelewa maana ya sovereignty kwanza ama unaongea 2 mzee baba ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa wairan wamepata pigo,na tatizo la mageneral wa Iran ni kupenda kuwa Frontline tofauti na mageneral wa nchi Kama Israel wanashinda wamejificha ndani,au mageneral wa marekani ambao hata Iraq hutembelea kea kushitukiza Tena usiku wa manane
 
Ila wamarekani, inapaswa waje hapa nyumbani wafundishwe somo wa uzalando pale lumumba, kumetokea mpasuko huko kati ya Democrats wanaodai mauaji ya General Qasem hayakuwa na baraka za seneti, huku Republicans wakiyaunga mkono.

ila nadhan democrats wanamatatizo sababu mwaka jana vikosi vilivyokuwa vikiongozwa na Qasemu vilitambuliwa kama kundi la kigaidi. sasa kiongozi wa magaidi kuuwawa seneti wanataka washirikishweje, walipomuua osama bin laden senet ilishirikishwa?
 
Hapa wairan wamepata pigo,na tatizo la mageneral wa Iran ni kupenda kuwa Frontline tofauti na mageneral wa nchi Kama Israel wanashinda wamejificha ndani,au mageneral wa marekani ambao hata Iraq hutembelea kea kushitukiza Tena usiku wa manane
I hope walikuwa na succession strategy nzuri.
 
Jeshi la marekani limetoa taarifa kwamba tarehe hiyo lilifanya "precision preventive strikes" katika targets tano ndani ya Iran na Iraq.

nadhani umekuwa overwhelmed na mauaji ya General Qasemi, sasa hata ukumbuki what happened a couple of days ago.
Brother!Ukinionyesha kwamba hiyo strike imefanyika Iran kupitia chombo rasmi nabadilisha jinsia yangu kwanzia leo,ila na wewe ukishindwa ufanye vivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom