leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,340
- 1,748
BREAKING: #Iran vows retaliation following death of IRGC commander #Soleimani - senior military officer Iran Vows Retaliation Following Death of IRGC Commander Soleimani - Senior Military Officer Sputnik on TwitterJITAARISHENI KIPIGO CHAJA
View attachment 1310666
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili shambulizi ni jipya kabisa.Ayatollahs wasicheze na Trump huyu sio Obama. Huku Trump kule Netanyahu itabidi Iran waombe poo!Duuh, kwahiyo ili shambulizi nijipya?
Aisee inabidi dunia ifanye maombi kwaajili ya middle East.
Mambo ni magumusana huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko Tanzania Magufuli 😁😁😁Hili shambulizi ni jipya kabisa.Ayatollahs wasicheze na Trump huyu sio Obama. Huku Trump kule Netanyahu itabidi Iran waombe poo!
Hahahaha. Mkuu acha fujo. Kule watu mna addiction, so, hamuelewiKumbe Thesis umekimbilia huku...turudi kule Kwenye Uzi wetu unijibu maswali yangu
IRAN Kuna Soleiman Zaidi Ya Millions..Nyie jamaa mnachekesha sana. Unawezaje kulinganisha drone na komandoo generali bobezi na la kutegemewa na nchi kama Qassem?
Haaahaa mkuu britanicca umesababisha nicheke kwa sauti😂😂😂Huko Tanzania Magufuli 😁😁😁
😁😁😁Haaahaa mkuu britanicca umesababisha nicheke kwa sauti😂😂😂
Ina Maana US Anapenda Ndege Zake Zitunguliwe Anapenda Wanajeshi wake Watekwe ?!Wewe unaongelea drones? ukitaka kujua America ni vichaa duniani lipua meli yao ya kivita,si ipo hapo Gulf kila siku,Mbona Iran hajawahi hata kuirushia kombora?They know it! au mwambie akashambulie a US city alafu uje utupe mrejesho hapa!
Ndugu acha kuchekesha watu ujasili wa kushambulia ardhi ya Iran hana.Jeshi la marekani limetoa taarifa kwamba tarehe hiyo lilifanya "precision preventive strikes" katika targets tano ndani ya Iran na Iraq.
nadhani umekuwa overwhelmed na mauaji ya General Qasemi, sasa hata ukumbuki what happened a couple of days ago.
FactsHapa hakuna vita itakayotokea kwasababu Gen Qasem kauawa nje ya mipaka ya nchi yake. Hakuna soveregnty ya Iran iliyovunjwa, hivyo Iran hana legitimacy ya kurudisha mapigo ya moja kwa moja. So, hapo Iran atatafuta nayeye namna ya kumchoma marekani kisu cha mgongoni ambapo na marekani naye atakosa legitimacy ya kumvamia Iran.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaelewa maana ya sovereignty kwanza ama unaongea 2 mzee baba ?!Sovereignty?Brother huyo jamaa ni equivalent to US chairman of joint chief of Staffs,sasa wamsubirie wamuue Joint chief of Staffs wa Marekani akiwa taifa lingine uone hyo sovereignity kama inafanya kazi ama lah,Iran won't dare.
Qasem Soleimani, Jenerali wa vikosi vya kikurdi vinavyoungwa mkono na Iran, ameuawa na vikosi vya Marekani
I hope walikuwa na succession strategy nzuri.Hapa wairan wamepata pigo,na tatizo la mageneral wa Iran ni kupenda kuwa Frontline tofauti na mageneral wa nchi Kama Israel wanashinda wamejificha ndani,au mageneral wa marekani ambao hata Iraq hutembelea kea kushitukiza Tena usiku wa manane
Brother!Ukinionyesha kwamba hiyo strike imefanyika Iran kupitia chombo rasmi nabadilisha jinsia yangu kwanzia leo,ila na wewe ukishindwa ufanye vivyo hivyo.Jeshi la marekani limetoa taarifa kwamba tarehe hiyo lilifanya "precision preventive strikes" katika targets tano ndani ya Iran na Iraq.
nadhani umekuwa overwhelmed na mauaji ya General Qasemi, sasa hata ukumbuki what happened a couple of days ago.
Nifundishe brother