Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Hapa wairan wamepata pigo,na tatizo la mageneral wa Iran ni kupenda kuwa Frontline tofauti na mageneral wa nchi Kama Israel wanashinda wamejificha ndani,au mageneral wa marekani ambao hata Iraq hutembelea kea kushitukiza Tena usiku wa manane

Cheo cha General wa IRAN ni sawa na Cheo Cha Ukuruta au Koplo wa US au ISRAEL
 
Dunia nzima kumezuka taharuki na mafuta katika soko la dunia yamepanda kwa 4%. Ila unajua ni kwa nini Taifa lenye nguvu duniani wamefanya shambulizi la hatari na kutisha katika usalama wa dunia na kutangazia dunia wamemuondoa General mkuu wa majeshi ya Iran na vikosi maalumu vya Iran?

Nipo busy ila nitakuja kuelezea nguvu ya usalama na vile watu wanajuwa fanya mambo ya kutisha kwenye muda muafaka bila kosea shabaha.
 
January 3, 2020
Tehran, Iran

Mourners in a mosque after news that a top general in Iran's Revolutionary Guard has been killed in Iraq.
 
Acha ujinga wewe. Israel anamtegemea USA kwa kila kitu 100%,mpaka UN VETO anamtegemea ya USA.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii akili ilioganda mda c mrefu usikose kurud tena kuja kufananisha na sadam huseein mamruki wa marekan wewe hata mambo yenyewe huyajui unashabikia Kama mpira!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbba Unapanik Kijana [emoji3][emoji3] Kama Kibaraka wa IRAN Wamuache Alindwe Na IRAN Wao Wanamlinda Wa Nn ss ?!

Kwan Ililazimishwa Kutoa Ulinzi IRAQ Kwan IRAQ Kabla Wao Wapuuzi Kumuua Saddam Ilikua Ikilindwa Nanani ?!

Hehehe kwan unahisi m2 anapojiuzulu 2 hapo hapo ndio anatoka katika madaraka yake namajukumu yake pole sana Kijana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IRAN
Na ninavyo hisi Iran inaweza kupotezea tu.
IRAN Hawez Kupotezea Hili Suala Hata Dakika Moja Ila Hatatoa Jibu Kama Tunalolitegemea Ama Hatatoa Jibu Kwawakati Kama Tunaotegemea sisi

Nasababu kuu yakufanya hiv ni jamaa kauliwa ila hajauliwa ndani ya Mipaka Ya IRAN Ila Kama Angeuliwa Ndani Ya Mipaka Ya IRAN Kwasasa Mashariki Yakati Ingekua Haikaliki....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh[emoji16][emoji16][emoji3]Mashambulizi Yamefanyika Ndani Ya IRAN Yawapi [emoji23][emoji23][emoji23] Volatility, IRAN Hajawahi Kumtia Kidole Mtu Wala Hajawahi Kumchokoza Mtu Ila Narudia Tena
WAIRAN Watauliwa Popote Ulimwenguni Ila Usitegemee Shambulio Kama Hilo Ndani Ya Mipaka Ya IRAN

Kama US Wangerusha Hata Kwabahati Mbaya Jiwe Ndani Ya IRAN Kwasasa Mashariki Yakati Ingekua Haikaliki.........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…