Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Of course wanaweza lipa kisasi ila usitegemee watashambulia high value target ya marekani au kuua kiongozi wa Marekani,Iran anajua kabisa hyo itakuwa ni end of survival yake
Hapa wairan wamepata pigo,na tatizo la mageneral wa Iran ni kupenda kuwa Frontline tofauti na mageneral wa nchi Kama Israel wanashinda wamejificha ndani,au mageneral wa marekani ambao hata Iraq hutembelea kea kushitukiza Tena usiku wa manane
Hahaha [emoji16] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa wana poor inteligence lkn waliishusha drone ya marekani ambayo tuliaminishwa ni latest kabisaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aahahah! hizo ni janja zao! Militarism strategies, kuhadaa ulimwengu mkuu! akili za kuambiwa?
Ni kama Mrusi anavo mtanguliza Iran ktk hili! kwani aliyetoboa siri ya Mosad kushambulia ni nani? but Mrusi amemshauri Iran alikubali km lilivo tangazwa, ili kuonyesha Dunia kwamba wana kinyongo na ku concetrate kwa USA,
Impactations itakuwa kwa Israel amabayo ndo mlengwa, na wayahudi wanalijua hili fika, wanajipa muda
Trump ametumiwa tu kusema
Nyie wote mnaodhani Iran anauwezo huo nawaonea huruma Sana. Nilikuwa upande wa Saddam Hussein ile miaka ya 90s, kwa mikwala aliyokuwa akipiga Saddam Hussein nilijuwa Marekani kwishney. Maskini alipigwa kama mbwa koko roho ilituuma sana. Lkn ulikuwa ni ushabiki tu usio na uhalisia.
In a long run nikajagundua kwamba marekani yupo far away kwenye Hii game ya vita technologicaly ame advance Sana. Iran ana disadvantage kubwa Sana maana amezungukwa na American military base hapo Saudia, Kuwait na nyambizi kibao baharini kwa hiyo bora wapige mkwara WA maneno tuuu halafu wakaushe.
Kama Kibaraka wa IRAN Wamuache Alindwe Na IRAN Wao Wanamlinda Wa Nn ss ?!Kwanza huyo Waziri Mkuu wa Iraq ni kibaraka wa Iran,pili Marekani ndio inayotoa ulinzi kwa hiyo Serikali,tatu huyo Waziri Mkuu hana legitimate yoyote ya kuongea hayo sababu kwanza mbona haulizi Majeshi ya Iran yanafanya nini Iraq pia yeye alishaniuzulu aondoke zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkishamaliza kujadili ya Iraq,marekani na Iraq mrudi tujadili ya nchini kwetu,maana sielewi Jiwe anaipeleka wapi hii nchi
IRAN Hawez Kupotezea Hili Suala Hata Dakika Moja Ila Hatatoa Jibu Kama Tunalolitegemea Ama Hatatoa Jibu Kwawakati Kama Tunaotegemea sisiNa ninavyo hisi Iran inaweza kupotezea tu.
Hakuna tofauti mbele ya MmarekaniTupo kwenye 20s, Mkuu.