bona hawajafanikiwa kuitubukiza taifa la israeli katika bahari kaa wanavosema kila wakati, wajinga watupu wale#Breaking #Iran military forces command: “we will be delivering a seismic response to the #US assassination of General #Soleimani in #Iraq, and the crossing of all the red-lines.”Mm sie niliesema, Wairan wakisema wanafanya
Sent using Jamii Forums mobile app
.Kuna watu mko vizuri kwenye geo-politics. Sisi wengine tupo shallow sana ila tunajua yale muhimu tu.
Well, Iran wale maostaz hawawezi kukaa kimya kwa shambulio la General wao. Lazima watatupa raha tu soon.
Swali fikirishi: Ni nani mnufaika mkuu wa mgogoro huu? Najua wakristo wanafurahi, maandiko yanatimia. Yesu yu njiani yuaja!
IRAN wanaweza kum create osama akapiga september 11 nyingine we subili utaniambia
Kiukweli naogopa. Halafu nimesikia Trump nae katuma wanajeshi kama 3000 kwenda middle East. Huyu Trump si aliondoa majeshi yake ? Why wanarudi tena. Middle East itakuja kuwa na Amani kweli ? Too sad.
Al Udeid US airbase-Qatar,US base Kuwait,US base-Saudi Arabia,US base Bahrain,Us base UAE,US base in Iraq,US base in Oman
So wewe you are smarter than CIA or FBI[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kodi za ndani I.E kodi ya mafuta yaliyosafishwa, na tozo nyingine.Alafu ww sinime kuuliza lakini mpaka sasa,nimekuuliza kama hawauzi mafuta serikali yao wanaiendeshaje?
juzi tu wamekua attacked new york mkuu
Can they be compared in terms of scale and the level of sophistication and etc?juzi tu wamekua attacked new york mkuu
Mkuu IRAN ni taifa tajiri africa hakuna nchi inayoikuta kwa pesa wameisharusha hadi chombo angani huko waliweka nyani na akaludi salama wanazo drones na kila kitu hadi dunia inamzungumzia manake sio mtu mwepesi wale waajemi uliokua unawasoma kwenye historia ndio hawa IRANCan they be compared in terms of scale and the level of sophistication and etc?
Nimeongelea attack uliyoitaja Newyork vs September 11 aliyoitaja Root,Nilikuwa namaanisha hili bestMkuu IRAN ni taifa tajiri africa hakuna nchi inayoikuta kwa pesa wameisharusha hadi chombo angani huko waliweka nyani na akaludi salama wanazo drones na kila kitu hadi dunia inamzungumzia manake sio mtu mwepesi wale waajemi uliokua unawasoma kwenye historia ndio hawa IRAN
Jiite bibi ingependeza mkuuIpi hiyo?
Predator (drone) ni stealth?
Utakuwa haupo serious!
Mkuu unapo to a hoja zingatia ukweli na si ushabiki au hisia!
Mimi daima nasimama kwenye ukweli japokuwa muda mwingine inauma!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila nchi ina vyanzo vyake inavyo tegemea kuendesha serikali kwa hiyo mapato makubwa yalitokana na mafuta sasa kama mafuta hauzi ataiendeshajeKodi za ndani I.E kodi ya mafuta yaliyosafishwa, na tozo nyingine.
Kwa kumbukumbu sahihi ni kwamba walipandisha bei ya mafuta kwa 50% ikaleta maandamano ya kupinga.
Na wewe unijibu :-
Serikali yenu inaendeshwa kwa kuuza mafuta ghafi?
Kila mtu anajua Iran na mataifa mengi mashariki ya kati yanajiendesha kwa mafuta licha ya kwamba Iran ina viwanda vingi lakini kumbuka hata bidhaa zake zimewekewa vikwazo.Kodi za ndani I.E kodi ya mafuta yaliyosafishwa, na tozo nyingine.
Kwa kumbukumbu sahihi ni kwamba walipandisha bei ya mafuta kwa 50% ikaleta maandamano ya kupinga.
Na wewe unijibu :-
Serikali yenu inaendeshwa kwa kuuza mafuta ghafi?
CHINA RUSSIA TURKEY INDIA Wananunua wese la IRANTaifa gani kwamfano?
Mataifa yote yaliyolipia walipewa dirisha la ku collect oder zao.
Ukitaka kumtangulia aliyekuzidi fanya nae urafiki.
Mbona urusi hazozani kiivyo na marekani?
Angalia Japan, Australia, German, Argentina, Brazil!!
Nyinyi tu waajemi mtuharibie kadunia ketu!!
Kashajaguliwa Soleiman Mwengne Huko Ana enda Kuendeleza Alipomalizia The Late Gen SoleimanUmesema wapo sio watakuja, na huwezi sema watakuja make ni sawa na ramli.
Afu kumbuka sio suala la mafunzo tu, bali majaaliwa ya Mwenyezi Mungu. Kumbuka Barcelona ni timu moja kocha mmoja lakin Messi habari nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app