Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

"Officials reminded Trump that after the Iranians mined ships, downed the U.S. drone and allegedly attacked a Saudi oil facility, he hadn’t responded. Acting now, they said, would send a message: “The argument is, if you don’t ever respond to them, they think they can get by with anything,” one White House official said. Source-The Washington Post Magazine
 
Matumizi ya kuvisaidia (ambayo kimsingi ndio yanatumia pesa nyingi sana) vikundi vya kigaidi sio takwa la wengi.
 
Tatzo lao uta waelewesha ila kuelewa ss mtihan...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHINA RUSSIA TURKEY INDIA Wananunua wese la IRAN

Kwan CHINA na RUSSIA Hawajamzidi IRAN Au Lazma Ufanze Biashara Na US ?!


US Ndio Wana Iharbu Dunia Shenzi Wale

Sent using Jamii Forums mobile app
China hathubutu!
Huawei na 5g ni funzo la kutosha, juzi kati wachina na wamarekani wamewekeana saini mikataba ya kibiashara, hilo lisingetokea kama china ha- comply na vikwazo.

Ambition za kuifuta Israel zinawagharimu pakubwa waajemi na waarabu.
 
The New York Times reported that the Pentagon used highly classified information from informants, electronic intercepts, reconnaissance aircraft and other surveillance techniques to track the Iranian general’s movements.

A Gulf newspaper reported the strike involved modified Hellfire R9X ‘Ninja’ missiles, which have warheads with pop-out spinning blades designed to minimise collateral damage.

Instead of exploding, the missile is armed with six long blades that extend just before impact, effectively shredding their targets.
 
Dah jamaa hua nakufatilia sana na hua nakuelewa sanaa ila kuna muda hua unabishana kwa mahaba sio kama unavyotuaminisha hapa
Ipi hiyo?

Predator (drone) ni stealth?

Utakuwa haupo serious!

Mkuu unapo to a hoja zingatia ukweli na si ushabiki au hisia!
Mimi daima nasimama kwenye ukweli japokuwa muda mwingine inauma!

Sent using Jamii Forums mobile app
Zile drones zilikua stilth ww unataka kutuaminisha nn hapa ss kwamfano ?!....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cold war still exist!!!mh saw
 
China hathubutu!
Huawei na 5g ni funzo la kutosha, juzi kati wachina na wamarekani wamewekeana saini mikataba ya kibiashara, hilo lisingetokea kama china ha- comply na vikwazo.

Ambition za kuifuta Israel zinawagharimu pakubwa waajemi na waarabu.
Waajemi wanasimamia misimamo yao hawatetereki na wana endelea kwa hali ya juu kabisa


Vikwazo vinwayumbisha ila havitakaa viwaangushe kamweeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaelekea CIA wana "mole" huko Iran au kwenye jeshi lenyewe chochote watakachopanga kinajulikana mubashara pentagon.
Ni kichapo tu kwa Iran kelele zilizidi

SOLEIMAN atakuwa kesha kabidhiwa ma bikra 72 huko aliokenda yuko bize.
 
Matumizi ya kuvisaidia (ambayo kimsingi ndio yanatumia pesa nyingi sana) vikundi vya kigaidi sio takwa la wengi.
Una uhakika na unacho kisema au uaendeshwa na mihemuko?
 
Sasa ww kwa mfano ata kama wana F35 itaenda kushambulia vipi anga za Iran? Wakati new model drone ambayo eti wanasema haionekani ilichakazwa ata haijaingia kwenye anga la Iran?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji769][emoji2400][emoji2398] Marekani Kama mchawi hashindwi kitu chochote. Kuanguliwa kwa ile drone kutawafanya waingie tena mahabara watengeneze drones nyingine wanapitisha tena ili kuhakikisha kwamba jamaaa walibahatisha au vip? Yaani kupambana na USA unahitaji ubongo wenye uwezo mkubwa wa kufanya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Show ya Kondeboy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka Iraq nae anazalisha mafuta na machafuko yaliyopo Iraq ndio faida kwa USA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaelekea CIA wana "mole" huko Iran au kwenye jeshi lenyewe chochote watakachopanga kinajulikana mubashara pentagon.
Ni kichapo tu kwa Iran kelele zilizidi

SOLEIMAN atakuwa kesha kabidhiwa ma bikra 72 huko aliokenda yuko bize.
Kwa Marekani kuwa na mole ndani ya Iran sio jambo rahisi, lakini kuna uwezekano mkubwa wanaweza kuwa na informants ndani ya security agencies za Iraq, na ndio maana iliwezekana kwao kufanya shambulizi ndani ya Iraq.
 
Hakuna aliyeamrisha Uvamizi tena ubalozi wa USA Iraq.

Sasa hivi wote waliokuwa na Kidomomo wamefyata mkia. Wanaishia kutoa matamko tu, wanaogopa kumsindikiza Soleiman, timing na kichapo chenyewe kimewatia ganzi hawaamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…