Aisee!!!.
kumbe jamaa alikuwa n mtu mkubwa sana Iran!!.
Mi nilikuwa namchukulia kama akina Musuguri, Mwamnyange Etc.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni watu wazito, lakini sio kwa namna ya Jemedali Qassim.
Ni kweli ile Drone haikuwa stealth kama wengi wanavyodai humu.Wakuu inatakiwa ujue kuwa global hawk (drone) siyo stealth na wala haina speed Kali kama attack or fighter aircraft kama F-35 au F-22..
Kama utabisha links ninazo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unadhani Majaliwa na Suluhu ni wazito serikalini kumzidi Mabeyo?ni watu wazito, lakini sio kwa namna ya Jemedali Qassim.
ikiwa (wanavyosema) ni mtu wa pili kwa umaarufu ndani ya Iran, huyo sio levo ya akina Musuguri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimezifatilia zile vita za waarabu walipoungana wote vs Israel...yaani kwa kipindi kile technologically walikuwa wanalingana lakini wingi wa wanajeshi,ndege za kivita,matenki n.k waarabu walikuwa navyo mara kumi ya waisrael lakini kipigo walichochezea ni cha mbwa mwitu...tena kaisrael kaliwapiga siku sita ya saba kakapumzika sabato.,,kazi ilikuwa ishaisha......bona hawajafanikiwa kuitubukiza taifa la israeli katika bahari kaa wanavosema kila wakati, wajinga watupu wale
Bado tuko msibani,kuanzia kesho na hasa jumatatu mambo yataanza,kwasasa US wako busy kujaribu kuhit base za PMU huko Iraq na syria[emoji23] [emoji23] [emoji23]..
Nina kukubali sana katika hii nyanja.
na hapo bado ujaanza kuchambua yale madude akina Rocket ranger, warhead etc
Sent using Jamii Forums mobile app
US wako Iraq na vilevile Iraq haina air defence
Huenda wapo katika harakati za kujiondolea stress na misongo ya mawazo ya hapa na pale.Shida hii mijadala inaendeshwa kwa mihemko aisee.
Mpka unashangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother! Unaichukia Iran kwa sababu ya Ushia? Unafurahia kifo cha mtu kisa Shia?Huwa nafurahi sana Iran ikipigwa na washirika wake,kwasababu ni mtu muovu mno nyuma ya pazia ya wema
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wewe unafurahia kifo cha mtu kisa kafir...wewe sio wa ajabu?Brother! Unaichukia Iran kwa sababu ya Ushia? Unafurahia kifo cha mtu kisa Shia?
Wewe ni wa ajabu sijawahi pata kuona!
Sifurahii hata kifo cha atheist! Sembuse kaafir?Mbona wewe unafurahia kifo cha mtu kisa kafir...wewe sio wa ajabu?
Walichokifanya US ni kitu cha hatari sana kwa usalama wao na kwa usalama wa Dunia.
Sio rahisi hicyo mzeia, kama unafahamu Marekani alishafanya mpaka majaribio ya ku hack mifumo ya nyuklia ya Iran ili iilipue lakini Iran walimdhibiti kabla hata hajagusa firewall, ndo kwanza alikuwa anajaribu kupenetrate kwa kutumia kirusi alichowatumia, binafsi simkubali mmarekani hata kidogo na kama ikibidi Iran watume tu Nyuklia pale Washington.Huyu alikuwa ndio mchora ramani wa Iran kwa shughuli zao zote nje ya Iran, kuanzia kushambuliwa kwa Visima vya Mafuta vya Saudi Arabia mpaka kuteka meli na bila kusahau kashikashi la Ubalozi wa Marekani. Tungoje tuone Iran atafanya nini,sasa hivi kichapo kwake kipo wazi wazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sifurahii hata kifo cha atheist! Sembuse kaafir?
Iran na Amerika zinaviziana kimauaji nje ya mipaka ya nchi zao kwa sababu zinazojulikana.
Hili ndiyo tatizo lako! Quran imeshuka kwa miaka mingapi? Hiyo aya imeshuka wapi na sababu ya kushuka hizo aya ni nini?Unaweza kuwa unachukia kitu ambacho ni kizuri kwako
Quran (2:216) - "Fighting is prescribed for you, and you dislike it. But it is possible that you dislike a thing which is good for you, and that you love a thing which is bad for you. But Allah knoweth, and you know not."
Quran (2:191-193) - "And kill them wherever you find them, and turn them out from where they have turned you out. And Al-Fitnah [disbelief or unrest] is worse than killing
Mimi hayo sijui...mimi najua ilikuwepo tanguu kuumbwa misingi ya dunia na inafaa kwa matumizi ya vizazi vyote mpaka mwisho wa dahariHili ndiyo tatizo lako! Quran imeshuka kwa miaka mingapi? Hiyo aya imeshuka wapi na sababu ya kushuka hizo aya ni nini?
Kama hujui kaa kimya! Masuala ya kuharibu Nyuzi za watu siyahitaji.
Mwanzo wa kitu hukijui halafu unashabikia mwisho wake tafakuri zenu huwa mnazipeleka wapi?Mimi hayo sijui...mimi najua ilikuwepo tanguu kuumbwa misingi ya dunia na inafaa kwa matumizi ya vizazi vyote mpaka mwisho wa dahari
Haaaaaaaaaaaa umenimaliza na hapo umesema ati siku 6 ya saba wakapumuzika sabato, yaani ile six day war mpaka wa leo inawashangaza warabu, na ndio unaona wengi waliinua mikono juu, yaani kataifa kadogo ka israel, ikachapa mataifa ya libya, tunisia, morroco, egypt, syria, kuwait na saudi, chezea muyahudi wewe, ndio inaona kile kimebaki kwa waarabu ni ugaidi tu, hawana lingine, wajaribu kupiga marekani wanairan, trump atapeleka drones nyumbani kwa ayatollah π π π π π π π π π π π π πNimezifatilia zile vita za waarabu walipoungana wote vs Israel...yaani kwa kipindi kile technologically walikuwa wanalingana lakini wingi wa wanajeshi,ndege za kivita,matenki n.k waarabu walikuwa navyo mara kumi ya waisrael lakini kipigo walichochezea ni cha mbwa mwitu...tena kaisrael kaliwapiga siku sita ya saba kakapumzika sabato.,,kazi ilikuwa ishaisha......
Sasa sipati picha saivi kaisrael kameshawapiga gep kitechnolojia mara 100...sijui wakipigana itakuwaje
ni kaa vile magufuli hahusiki na kupotea kwa azory gwanda, ben saa nane kupigwa risasi kwa tundu lissuYaani kama vile US yenyewe haiui raia huko Syria,Afganistan,Iraq.
Unafiki bana.
Sent using Jamii Forums mobile app