Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

bona hawajafanikiwa kuitubukiza taifa la israeli katika bahari kaa wanavosema kila wakati, wajinga watupu wale
Nimezifatilia zile vita za waarabu walipoungana wote vs Israel...yaani kwa kipindi kile technologically walikuwa wanalingana lakini wingi wa wanajeshi,ndege za kivita,matenki n.k waarabu walikuwa navyo mara kumi ya waisrael lakini kipigo walichochezea ni cha mbwa mwitu...tena kaisrael kaliwapiga siku sita ya saba kakapumzika sabato.,,kazi ilikuwa ishaisha......
Sasa sipati picha saivi kaisrael kameshawapiga gep kitechnolojia mara 100...sijui wakipigana itakuwaje
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]..
Nina kukubali sana katika hii nyanja.

na hapo bado ujaanza kuchambua yale madude akina Rocket ranger, warhead etc

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado tuko msibani,kuanzia kesho na hasa jumatatu mambo yataanza,kwasasa US wako busy kujaribu kuhit base za PMU huko Iraq na syria
 
Brother! Unaichukia Iran kwa sababu ya Ushia? Unafurahia kifo cha mtu kisa Shia?

Wewe ni wa ajabu sijawahi pata kuona!
Mbona wewe unafurahia kifo cha mtu kisa kafir...wewe sio wa ajabu?
 
Mbona wewe unafurahia kifo cha mtu kisa kafir...wewe sio wa ajabu?
Sifurahii hata kifo cha atheist! Sembuse kaafir?

Iran na Amerika zinaviziana kimauaji nje ya mipaka ya nchi zao kwa sababu zinazojulikana.
 
Huyu alikuwa ndio mchora ramani wa Iran kwa shughuli zao zote nje ya Iran, kuanzia kushambuliwa kwa Visima vya Mafuta vya Saudi Arabia mpaka kuteka meli na bila kusahau kashikashi la Ubalozi wa Marekani. Tungoje tuone Iran atafanya nini,sasa hivi kichapo kwake kipo wazi wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio rahisi hicyo mzeia, kama unafahamu Marekani alishafanya mpaka majaribio ya ku hack mifumo ya nyuklia ya Iran ili iilipue lakini Iran walimdhibiti kabla hata hajagusa firewall, ndo kwanza alikuwa anajaribu kupenetrate kwa kutumia kirusi alichowatumia, binafsi simkubali mmarekani hata kidogo na kama ikibidi Iran watume tu Nyuklia pale Washington.
 
Unaweza kuwa unachukia kitu ambacho ni kizuri kwako
Quran (2:216) - "Fighting is prescribed for you, and you dislike it. But it is possible that you dislike a thing which is good for you, and that you love a thing which is bad for you. But Allah knoweth, and you know not."

Quran (2:191-193) - "And kill them wherever you find them, and turn them out from where they have turned you out. And Al-Fitnah [disbelief or unrest] is worse than killing
Sifurahii hata kifo cha atheist! Sembuse kaafir?

Iran na Amerika zinaviziana kimauaji nje ya mipaka ya nchi zao kwa sababu zinazojulikana.
 
Unaweza kuwa unachukia kitu ambacho ni kizuri kwako
Quran (2:216) - "Fighting is prescribed for you, and you dislike it. But it is possible that you dislike a thing which is good for you, and that you love a thing which is bad for you. But Allah knoweth, and you know not."

Quran (2:191-193) - "And kill them wherever you find them, and turn them out from where they have turned you out. And Al-Fitnah [disbelief or unrest] is worse than killing
Hili ndiyo tatizo lako! Quran imeshuka kwa miaka mingapi? Hiyo aya imeshuka wapi na sababu ya kushuka hizo aya ni nini?

Kama hujui kaa kimya! Masuala ya kuharibu Nyuzi za watu siyahitaji.
 
Hili ndiyo tatizo lako! Quran imeshuka kwa miaka mingapi? Hiyo aya imeshuka wapi na sababu ya kushuka hizo aya ni nini?

Kama hujui kaa kimya! Masuala ya kuharibu Nyuzi za watu siyahitaji.
Mimi hayo sijui...mimi najua ilikuwepo tanguu kuumbwa misingi ya dunia na inafaa kwa matumizi ya vizazi vyote mpaka mwisho wa dahari
 
Mimi hayo sijui...mimi najua ilikuwepo tanguu kuumbwa misingi ya dunia na inafaa kwa matumizi ya vizazi vyote mpaka mwisho wa dahari
Mwanzo wa kitu hukijui halafu unashabikia mwisho wake tafakuri zenu huwa mnazipeleka wapi?

Unafikiri ni kwa nini Quran wasiyoijua wakisoma translation yake wanasema visa vyake havina mtiririko? Umeshawahi kujiuliza hili?

Quran imeshuka kwa miaka 23! Ndiyo ikawa imekamilika. Moja ya sababu ya mtiririko wake kutofautiana ni kwa sababu aya zilikuwa zinashuka kulingana na matukio husika kwa nyakati husika zilizo tofauti.

Usinichoshe tafadhali! Sihitaji mikwaruzano na mtu! Sihitaji kuharibu Uzi wa watu.
 
Nimezifatilia zile vita za waarabu walipoungana wote vs Israel...yaani kwa kipindi kile technologically walikuwa wanalingana lakini wingi wa wanajeshi,ndege za kivita,matenki n.k waarabu walikuwa navyo mara kumi ya waisrael lakini kipigo walichochezea ni cha mbwa mwitu...tena kaisrael kaliwapiga siku sita ya saba kakapumzika sabato.,,kazi ilikuwa ishaisha......
Sasa sipati picha saivi kaisrael kameshawapiga gep kitechnolojia mara 100...sijui wakipigana itakuwaje
Haaaaaaaaaaaa umenimaliza na hapo umesema ati siku 6 ya saba wakapumuzika sabato, yaani ile six day war mpaka wa leo inawashangaza warabu, na ndio unaona wengi waliinua mikono juu, yaani kataifa kadogo ka israel, ikachapa mataifa ya libya, tunisia, morroco, egypt, syria, kuwait na saudi, chezea muyahudi wewe, ndio inaona kile kimebaki kwa waarabu ni ugaidi tu, hawana lingine, wajaribu kupiga marekani wanairan, trump atapeleka drones nyumbani kwa ayatollah 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅
 
Back
Top Bottom