Kumbe Thesis umekimbilia huku...turudi kule Kwenye Uzi wetu unijibu maswali yanguHata Assad wa syria ilitegemewa kuwa ataanguka baada ya miezi miwili tu lkn hadi leo ni takribani miaka saba na nchi inazidi kuimarika. Usimtazame Iran, tazama walio nyuma yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaita vurugu? Kumbuka kabla ya iyo vurugu Marekani ndie aliyeanza uchokozi kwa kuwaua Hezbollah.Naam; kilichokuwa kinasubiriwa na Pentago ni sifnature ya Trump tu sio zaidi wala pungufu. Commander in Chief alipotoa tu idhini generali kule kageuzwa mishikaki fasta. Ha ha ha. Ila uhuni waliofanya Iran kucoordinate vurugu ubalozi a Marekani huko Baghdad ulistahili.kujibiwa kwa onyo kali.
Kama kipindi kile cha BushNakwambia naisubiri kwa ham...ila wale bwana wanaweza piga albadiri wakasema ndio response
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu soma hapo ni kauli ya msemaji wa Ayatollah. Iran siyo mchezo.Naam; kilichokuwa kinasubiriwa na Pentago ni sifnature ya Trump tu sio zaidi wala pungufu. Commander in Chief alipotoa tu idhini generali kule kageuzwa mishikaki fasta. Ha ha ha. Ila uhuni waliofanya Iran kucoordinate vurugu ubalozi a Marekani huko Baghdad ulistahili.kujibiwa kwa onyo kali.
Na kabla ya Marekani kuwaua hao wafuasi wa Hezbollah kulitokea nn?Unaita vurugu? Kumbuka kabla ya iyo vurugu Marekani ndie aliyeanza uchokozi kwa kuwaua Hezbollah.
Mkuu tayari waziri mkuu wa Iraq ame laumu mashambulizi yalio muuwa Commander cassem na Muhandis.Liwagu, Wale sio Raia wa Iraq bali ni imported mamluki kutoka Iran na Syria.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga yule! Kwa komandoo wa rank ile tena akijua hali tete baina ya nchi yake na "maadui" (alipenda sana kutumia hili neno kwenye mipasho yake) hakupaswa kuishi kizembe vile.Huyu jamaa mwaka huu alikoswa koswa kulambwa kichwa na Israel,hatimae CIA imemdaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza huyo Waziri Mkuu wa Iraq ni kibaraka wa Iran,pili Marekani ndio inayotoa ulinzi kwa hiyo Serikali,tatu huyo Waziri Mkuu hana legitimate yoyote ya kuongea hayo sababu kwanza mbona haulizi Majeshi ya Iran yanafanya nini Iraq pia yeye alishaniuzulu aondoke zake.Mkuu tayari waziri mkuu wa Iraq ame laumu mashambulizi yalio muuwa Commander cassem na Muhandis.
Naona US watakosa ushirikiano na serikali ya Iraq.
Wanafanya mashambulizi bila kuwa julisha wenyeji sijui wanajiamini kiasi gani.
Ngoja tusubiri kuona.
Huu mwaka huu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamemuwahi alipokuwa anaelekea Airport kurudi Iran,Safi sana CIAMjinga yule! Kwa komandoo wa rank ile tena akijua hali tete baina ya nchi yake na "maadui" (alipenda sana kutumia hili neno kwenye mipasho yake) hakupaswa kuishi kizembe vile.
Hayo maneno binadamu yeyote anaweza kuyaongea chief. Tunasubiri vitendo.Ebu soma hapo ni kauli ya msemaji wa Ayatollah. Iran siyo mchezo.
Trump through his gamble has dragged the U.S. into the most dangerous situation in the region,' advisor Hessameddin Ashena wrote on the social media app Telegram. 'Whoever put his foot beyond the red line should be ready to face its consequences.'
Wakizingua twaanzisha ISIS nyingine tuone kama hawatatuita. Afu hatuwahitaji IraqMkuu tayari waziri mkuu wa Iraq ame laumu mashambulizi yalio muuwa Commander cassem na Muhandis.
Naona US watakosa ushirikiano na serikali ya Iraq.
Wanafanya mashambulizi bila kuwa julisha wenyeji sijui wanajiamini kiasi gani.
Ngoja tusubiri kuona.
Huu mwaka huu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ninavyo hisi Iran inaweza kupotezea tu.Ukweli ni kuwa hakuna mwenye hamu ya vita baina yao. Wote wanapigana mikwara tu, wanajua vyema athari za vita baina yao zitakavokuwa na matokeo mabaya kwa uchumi wao na mataifa mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwa mjanja angevaa japo mabaibui then apande bajaji kuwapotezea maadui. Bahati mbaya ndio hivyo tena.
Ndugu sio rahisi kihivyo.Iran asipokua makini atapigika sana ....asijidanganye kuwa anaweza kuzichapa na marekani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]Walipo2nguliwa drone yao walishindwaje kudhibitisha
US wakawaida Mnooo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa anatoka Lebanon au Syria,naona CIA operatives wa hizo Nchi ndio wametoa ramani nzima.Angekuwa mjanja angevaa japo mabaibui then apande bajaji kuwapotezea maadui. Bahati mbaya ndio hivyo tena.
Ebu soma hapo ni kauli ya msemaji wa Ayatollah. Iran siyo mchezo.
Trump through his gamble has dragged the U.S. into the most dangerous situation in the region,' advisor Hessameddin Ashena wrote on the social media app Telegram. 'Whoever put his foot beyond the red line should be ready to face its consequences.'