RubbishHuyu Mother ana itikadi za ujinga ujinga anacho ambulia ni zero kwake... Kwanza anapambana na nature power ya Dunia jambo ambalo hatoweza, pili madai ya uongo, tatu anahusisha Makampuni ya kimarekani ambayo ni msaada wa Dunia nzima kwa ujumla hadi yeye mwenyewe anatumia hizo huduma za hayo makampuni ikiwepo Microsoft wakati kila aendapo amebeba Computer yenye window ya MIcrosoft.
Hasira zake za madai fake ndio ushambulie Makampuni ni ya kibiashara? mbona hashambulii Russia na Silaha zake za AK47 Maana ndizo ziaonoza kuua watu.
Anasema Genocide wakati tafsiri ya Genocide Israel hata theluthi hawezi kuifikia na hatoifikia. Kila mtu akifa Gaza anasema ni Israel bila kuweka ushahidi so lawama zake hazina mashiko wamuwekee vikwazo kuna uwezekano wajinga wa Arabuni haswa Qatar wanamtumia. bila kujali cheo alichonacho, Kuichukia Israel hadi siku ya Flotila alikuwa kama yeye ndie incharge
Wanajaribu kumnyamazisha..Utawala wa Trump umetangaza kwamba unamwekea vikwazo Francesca Albanese, mpelelezi huru aliyeteuliwa kuchunguza ukiukaji wa haki za binadamu katika maeneo ya Wapalestina, ikiwa ni juhudi ya hivi karibuni ya Marekani kuwaadhibu wakosoaji wa vita vya Israel ambavyo vimedumu vya miezi 21 sasa huko Gaza
Haijulikani wazi athari halisi za vikwazo hivyo na kama mpelelezi huru ataweza kusafiri kwenda Marekani akiwa na nyaraka za kidiplomasia
===
The administration of United States President Donald Trump has imposed sanctions on United Nations expert Francesca Albanese over her documentation of Israel’s abuses against Palestinians during its war on Gaza
US Secretary of State Marco Rubio announced the penalties on Wednesday, accusing Albanese of waging a “campaign of political and economic warfare against the United States and Israel”
Source: DW KISWAHILI & ALJAZEERA
Jaaamaa unafaa kupewa uraia wa heshima na Israel mana mahabaa yako yamevuka mipaka yakawaida unabishana mpaka na taasisi za UN zikiongozwa na CRISTIAN wenzio. Israel pamoja na Ushoga wao lkn bado mnawapenda sana..Huyu Mother ana itikadi za ujinga ujinga anacho ambulia ni zero kwake... Kwanza anapambana na nature power ya Dunia jambo ambalo hatoweza, pili madai ya uongo, tatu anahusisha Makampuni ya kimarekani ambayo ni msaada wa Dunia nzima kwa ujumla hadi yeye mwenyewe anatumia hizo huduma za hayo makampuni ikiwepo Microsoft wakati kila aendapo amebeba Computer yenye window ya MIcrosoft.
Hasira zake za madai fake ndio ushambulie Makampuni ni ya kibiashara? mbona hashambulii Russia na Silaha zake za AK47 Maana ndizo ziaonoza kuua watu.
Anasema Genocide wakati tafsiri ya Genocide Israel hata theluthi hawezi kuifikia na hatoifikia. Kila mtu akifa Gaza anasema ni Israel bila kuweka ushahidi so lawama zake hazina mashiko wamuwekee vikwazo kuna uwezekano wajinga wa Arabuni haswa Qatar wanamtumia. bila kujali cheo alichonacho, Kuichukia Israel hadi siku ya Flotila alikuwa kama yeye ndie incharge
Nature ya power ndio nini? Kwamba US ndio nature? Walishakuwepo wengi kama Great Britain, Germany ya Hitler, Ottoman empire etc ila wote walipita so hakuna jipya hata USA naye atapita tu itakuja world power nyingine.anapambana na nature power ya Dunia jambo ambalo hatoweza
FactNature ya power ndio nini? Kwamba US ndio nature? Walishakuwepo wengi kama Great Britain, Germany ya Hitler, Ottoman empire etc ila wote walipita so hakuna jipya hata USA naye atapita tu itakuja world power nyingine.
Nilichogundua nyie Pro Israel ni wanafiki sana, yaani Putin akiikalia Ukraine ni ukatili ila Netanyahu kuikalia palestina ni Halali!!
Israel kusupport waasi wa Syria, Turkey na Sudan ni halali ila Iran akisupport hao waasi wa Yemen anaitwa MFADHILI UGAIDI.
Hizi janja janja haziwezi wasaidia nyie wanafiki..
Foolish people always have nothing to represents any point to the public neither disagree ether to agree, shuleni tuliwaita Viazi au Potato. Hahaha wakiulizwa swali dogo wanachukua dakika hadi mbili kijubu yaani wanajiuma uma.Rubbish
Sijakuelewa unatetea dini yako au nchi ya Israel, maana huyo katmwa kwenda kuchunguza kama kuna ukiukwaji wa hali za kibinadamu wewe unaanza kupinga, si achunguze kwanza. Shida Imani za kiloko!e zinatupumbaza. Yanayofanyika Gaza huyaoniHuyu Mother ana itikadi za ujinga ujinga anacho ambulia ni zero kwake... Kwanza anapambana na nature power ya Dunia jambo ambalo hatoweza, pili madai ya uongo, tatu anahusisha Makampuni ya kimarekani ambayo ni msaada wa Dunia nzima kwa ujumla hadi yeye mwenyewe anatumia hizo huduma za hayo makampuni ikiwepo Microsoft wakati kila aendapo amebeba Computer yenye window ya MIcrosoft.
Hasira zake za madai fake ndio ushambulie Makampuni ni ya kibiashara? mbona hashambulii Russia na Silaha zake za AK47 Maana ndizo ziaonoza kuua watu.
Anasema Genocide wakati tafsiri ya Genocide Israel hata theluthi hawezi kuifikia na hatoifikia. Kila mtu akifa Gaza anasema ni Israel bila kuweka ushahidi so lawama zake hazina mashiko wamuwekee vikwazo kuna uwezekano wajinga wa Arabuni haswa Qatar wanamtumia. bila kujali cheo alichonacho, Kuichukia Israel hadi siku ya Flotila alikuwa kama yeye ndie incharge
Huyu Mother ana itikadi za ujinga ujinga anacho ambulia ni zero kwake... Kwanza anapambana na nature power ya Dunia jambo ambalo hatoweza, pili madai ya uongo, tatu anahusisha Makampuni ya kimarekani ambayo ni msaada wa Dunia nzima kwa ujumla hadi yeye mwenyewe anatumia hizo huduma za hayo makampuni ikiwepo Microsoft wakati kila aendapo amebeba Computer yenye window ya MIcrosoft.
Hasira zake za madai fake ndio ushambulie Makampuni ni ya kibiashara? mbona hashambulii Russia na Silaha zake za AK47 Maana ndizo ziaonoza kuua watu.
Anasema Genocide wakati tafsiri ya Genocide Israel hata theluthi hawezi kuifikia na hatoifikia. Kila mtu akifa Gaza anasema ni Israel bila kuweka ushahidi so lawama zake hazina mashiko wamuwekee vikwazo kuna uwezekano wajinga wa Arabuni haswa Qatar wanamtumia. bila kujali cheo alichonacho, Kuichukia Israel hadi siku ya Flotila alikuwa kama yeye ndie inchargeN
Walokole ni kichefuchefu huwaambii kitu kwa hilo taifa na hoja zao huwa ni za kijinga mno , huyu mama ni mzungu kutoka nchi yenye kitovu cha ukatoliki vatican lakin mbongo mla mihogo anabisha khaa.Sijakuelewa unatetea dini yako au nchi ya Israel, maana huyo katmwa kwenda kuchunguza kama kuna ukiukwaji wa hali za kibinadamu wewe unaanza kupinga, si achunguze kwanza. Shida Imani za kiloko!e zinatupumbaza. Yanayofanyika Gaza huyaoni
Mamluki huyo katumwa na Qatar na Iran. Mienendo yake inajulikana fika jina lisikupumbaze.Walokole ni kichefuchefu huwaambii kitu kwa hilo taifa na hoja zao huwa ni za kijinga mno , huyu mama ni mzungu kutoka nchi yenye kitovu cha ukatoliki vatican lakin mbongo mla mihogo anabisha khaa.