Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Baadhi ya vigogo wa AI Marekani wanataka maendeleo ya AI yapunguzwe kwa kile wanachodai hofu ya hatari zinazoweza kuletwa na AI.
Kwa kifupi, vigogo hawa wanaiona kasi ya China kwenye AI na wanapata presha. Sasa wanataka kubadili rules za mchezo ili wapate nafasi ya kupumua.
Jibu la China

“AI should be open and inclusive—not a technology controlled through technological blockades.”
— Lin Jian (msemaji rasmi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China)
“We will work with various parties to make AI a lasting source of benefits and a major driving force for the welfare of all humanity.”
— Mao Ning (msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China

Kwa kifupi jibu la China ni:
Usipoweza kushinda mbio, usimwambie mpinzani apunguze mwendo.
Mchezaji akianza kuomba sheria zibadilishe kasi ya mpinzani, ujue presha imeanza.