Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Mkuu una fikra za kitumwa kila siku kushindanisha China na Marekani. Kwanini usitumie hizo nguvu kuendeleza na kushabikia fikra za maendeleo za kujitegemea za weusi wenzako?Baadhi ya vigogo wa AI Marekani wanataka maendeleo ya AI yapunguzwe kwa kile wanachodai hofu ya hatari zinazoweza kuletwa na AI.
Kwa kifupi, vigogo hawa wanaiona kasi ya China kwenye AI na wanapata presha. Sasa wanataka kubadili rules za mchezo ili wapate nafasi ya kupumua.
Jibu la China
βAI should be open and inclusiveβnot a technology controlled through technological blockades.β
β Lin Jian (msemaji rasmi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China)
βWe will work with various parties to make AI a lasting source of benefits and a major driving force for the welfare of all humanity.β
β Mao Ning, spokesperson wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China
Kwa kifupi jibu la China ni:
Usipoweza kushinda mbio, usimwambie mpinzani apunguze mwendo.
Mchezaji akianza kuomba sheria zibadilishe kasi ya mpinzani, ujue presha imeanza.
Hili ni jukwaa la kimataifa, kwa sasa macho ya dunia yako kwa Marekani na China, hasa kwenye AI, teknolojia na uchumi.Mkuu una fikra za kitumwa kila siku kushindanisha China na Marekani. Kwanini usitumie hizo nguvu kuendeleza na kushabikia fikra za maendeleo za kujitegemea za weusi wenzako?
Mkuu utakufa na degree yako ya kukariri ya sociology.Hili ni jukwaa la kimataifa, kwa sasa macho ya dunia yako kwa Marekani na China, hasa kwenye AI, teknolojia na uchumi.
Kama huwezi kuvumilia mijadala ya dunia, tafuta majukwaa mengine yenye nyuzi kuhusu watu weusi na kujitegemea
Jukwaa lenyewe linaruhusu kuijadili mambo ya kimataifa alafu pia kujua habari za Dunia inakoelekea sio dhambiMkuu una fikra za kitumwa kila siku kushindanisha China na Marekani. Kwanini usitumie hizo nguvu kuendeleza na kushabikia fikra za maendeleo za kujitegemea za weusi wenzako?
Wewe jamaa na china duuhBaadhi ya vigogo wa AI Marekani wanataka maendeleo ya AI yapunguzwe kwa kile wanachodai hofu ya hatari zinazoweza kuletwa na AI.
Kwa kifupi, vigogo hawa wanaiona kasi ya China kwenye AI na wanapata presha. Sasa wanataka kubadili rules za mchezo ili wapate nafasi ya kupumua.
Jibu la China
βAI should be open and inclusiveβnot a technology controlled through technological blockades.β
β Lin Jian (msemaji rasmi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China)
βWe will work with various parties to make AI a lasting source of benefits and a major driving force for the welfare of all humanity.β
β Mao Ning (msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China
Kwa kifupi jibu la China ni:
Usipoweza kushinda mbio, usimwambie mpinzani apunguze mwendo.
Mchezaji akianza kuomba sheria zibadilishe kasi ya mpinzani, ujue presha imeanza.
Dogooo dogoooo inakuwaje mtu wangu pande za huko? Mungu nifundishe kunyamaza. ππ π πHii sio habari njema kabisa kwa sisi Wamarekani weusi wa Nzega.
Huyu ni kaka yako aisee!Dogooo dogoooo inakuwaje mtu wangu pande za huko? Mungu nifundishe kunyamaza. ππ π π
secretarybird
Mmekasirishwa vibaya na taarifa mbaya kama iyoπHii sio habari njema kabisa kwa sisi Wamarekani weusi wa Nzega.
AI isipodhibitiwa kisera kupitia mikataba ya kimataifa itatuletea balaa Karne zijazo.Baadhi ya vigogo wa AI Marekani wanataka maendeleo ya AI yapunguzwe kwa kile wanachodai hofu ya hatari zinazoweza kuletwa na AI.
Kwa kifupi, vigogo hawa wanaiona kasi ya China kwenye AI na wanapata presha. Sasa wanataka kubadili rules za mchezo ili wapate nafasi ya kupumua.
Jibu la China
βAI should be open and inclusiveβnot a technology controlled through technological blockades.β
β Lin Jian (msemaji rasmi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China)
βWe will work with various parties to make AI a lasting source of benefits and a major driving force for the welfare of all humanity.β
β Mao Ning (msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China
Kwa kifupi jibu la China ni:
Usipoweza kushinda mbio, usimwambie mpinzani apunguze mwendo.
Mchezaji akianza kuomba sheria zibadilishe kasi ya mpinzani, ujue presha imeanza.
Mkuu usijali hatutakuwepo karne hizo zijazo tutakuwa zetu mbinguni na Yesu tukila matunda na kutembea kwenye barabara zilizonakshiwa na dhahabu na kuhushuhudia simba, mbwa mwitu na wanakondoo wakicheza pamoja.AI isipodhibitiwa kisera kupitia mikataba ya kimataifa itatuletea balaa Karne zijazo.
Umesema kwa uchungu sana. ukweli unabakia kuwa ukweli tunapenda kushabikia vya watu vyetu hatuviendelezi wala kuvi tunza na kuvienzi. mapokeo yanatushika akili sana.Mkuu una fikra za kitumwa kila siku kushindanisha China na Marekani. Kwanini usitumie hizo nguvu kuendeleza na kushabikia fikra za maendeleo za kujitegemea za weusi wenzako?