Marekani yapeleka ndege maalumu za mashambulizi mazito (B-1B Lancer Bombers) nchini Saudi Arabia

Marekani yapeleka ndege maalumu za mashambulizi mazito (B-1B Lancer Bombers) nchini Saudi Arabia

Lini bomber zikaruka kutoka kwenye Meli? Hahaaa uwe unauliza basi au saa zingine kaa tu kimya
Ndege kama hizi hazihitaji uwanja.Zinaruka hata kutoka katika meli za kivita ambazo tayari ziko mashariki ya kati.Na pia zi auwezo wa kuruka bila kukimbia sana.Zinaweza kujinyanua bila kukimbia.Kwa hiyo hilo lisikupe shida.
 
Mtoto wa kike unaalikwa lunch unakuja, unaalikwa dinna unatoka, unaitwa outing unakuja, unapelekwa shopping unakubali. Siku ukialikwa chumbani unashangaa. Oooh, ungenambia, ooh sikujua kama yangefika huku
hahahahah
Saudia anachokitafuta atakipata, siku akija kustuka, kaishaliwa
Kwamba US yupo tayari kuchoma mafuta, kuua askari wake, kuja kukaa jangwani hivi hivi tuuuuu
Asikiaye na afahamu
US mpaka sasa anaendelea kunyonya asali ya Saudi mkuu,hawezi kuwekeza mzigo wote hivyo hivyo. Amefunga mirija kila kona. Anapiga pesa kwenye mauzo ya silaha na anawekeza kwenye visima.
 
US anachofanya ni just show of force/power tu....Analeta military asset anayapaki waarabu jinsi walivo hamnazo wanayalipia madola kibao kwa saa....US akitaka kupigana na Iran atahakikisha hakuna asset zake au wanajeshi wake middle east au within the radius of 2000Km....Hii ni njama ya US kum contain Saud-Arabia na apo usishangae in near future akatangaza ni permanent Base ....US kamshindwa mu-Iran tokea 2003 kwani walikosea baada ya Iran kuvamiwa wakaingia mkenge kwa Irak ambae wala hakua na nguvu ila Iran ya leo US atakachoweza kufanya ni covert operation na sanctions tu....
 
Unganisha dot netanyau alikuwa Saudi Arabia juz, pompeo nae alikuwa huko....yajayo yanafurahisha[emoji23]
 
US anachofanya ni just show of force/power tu....Analeta military asset anayapaki waarabu jinsi walivo hamnazo wanayalipia madola kibao kwa saa....US akitaka kupigana na Iran atahakikisha hakuna asset zake au wanajeshi wake middle east au within the radius of 2000Km....Hii ni njama ya US kum contain Saud-Arabia na apo usishangae in near future akatangaza ni permanent Base ....US kamshindwa mu-Iran tokea 2003 kwani walikosea baada ya Iran kuvamiwa wakaingia mkenge kwa Irak ambae wala hakua na nguvu ila Iran ya leo US atakachoweza kufanya ni covert operation na sanctions tu....
Facts
 
Ivi Iran ashawahi kumtibua USA?au ndo mapambio tu
Apo vipi mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23]
downloadfile.jpeg
USsailors.jpeg
 
Hivi vita ikianza hayo madege yao watayarushia wapi? maana cha kwanza Iran itahakikisha inaharibu viwanja vyote vya kijeshi vilivyoko mashariki ya kati.
Hizo ndege nikubwasana hivyo ikiwa angani inaweza kujazwa mafuta juu kwajuu hivyo ukiona imetua labda imedunguliwa ....hapo kila idara imekamilika.sio kama nyinyi Malawi ikiwatisha mnakodi malori yabebe vifaru hadi kyela
 
Hivi vita ikianza hayo madege yao watayarushia wapi? maana cha kwanza Iran itahakikisha inaharibu viwanja vyote vya kijeshi vilivyoko mashariki ya kati.
Wana Naval Ship ambayo wanaweza piga kambi baharini na ndege kufanya operation zake juu
 
Back
Top Bottom