Marekani yapeleka ndege maalumu za mashambulizi mazito (B-1B Lancer Bombers) nchini Saudi Arabia

Hahah hiki kichekesho cha mwaka. B-1 ikae kwenye meli? Meli ipi inabeba bomber? Pole pole jf inakua fb
hata mimi nashangaa,alafu anasema inaruka na kutua bila mwendo,huyu anachanganya na F-35,F-22,,hajui kama hizo bombers B-1,jumla ziko kama 18 tu,USA nzima,na ikipigwa moja hasara yake kubwa sana,hizo ni silaha za mwisho kutumiwa,mambo yakishakuwa magumu,,hapo ni maonyesho tu,wachote mafuta ya saudia..
 
Ndege kama hizi hazihitaji uwanja.Zinaruka hata kutoka katika meli za kivita ambazo tayari ziko mashariki ya kati.Na pia zi auwezo wa kuruka bila kukimbia sana.Zinaweza kujinyanua bila kukimbia.Kwa hiyo hilo lisikupe shida.
umechanganya,hizo zinazoruka toka melini na bila mwendo ni F-35,F-22,,hizo bombers B-1,sio za mchezomchezo..
 
ila BONE ni hatari sana,kwa mtazamo wangu,nyingine ni TU-160 ya russsia,hizo naziogopa sana,ningekuwa raisi tz,ningenunu hata TU-160,,-2pcs,za kuonyeshea ubabe africa nzima,zikionekana anga la ulaya tu,NATO nzima ni tafrani tupu...
 
Umeongea point kubwa sana hii timu turampet watakimbia
 
Uongo huu;
lini B-1 iliruka toka kwenye carrier?,
Jf hata asiyejua anajifanya anajua;
Hakuna mahali nimesema ndege hizo ulizotaja zinaweka kuruka kwa vertical baali nilimaanisha kuwa ndege nyingi za vita zinauwezo huo.Zingine huwa zinaweza kuruka vertical ila marubani hawapendelei kutumia mfumo huu labda kwa emergence.
 
We ni raia wa nchi gani?
Hizo ndege nikubwasana hivyo ikiwa angani inaweza kujazwa mafuta juu kwajuu hivyo ukiona imetua labda imedunguliwa ....hapo kila idara imekamilika.sio kama nyinyi Malawi ikiwatisha mnakodi malori yabebe vifaru hadi kyela
 
Hivi vita ikianza hayo madege yao watayarushia wapi? maana cha kwanza Iran itahakikisha inaharibu viwanja vyote vya kijeshi vilivyoko mashariki ya kati.
Kwa ubavu UPI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…